Najuaje chuo cha nursing kama kimesajiliwa au la?

Staphylococcus Aureus

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,489
2,294
Nina ndugu yangu anataka kusoma chuo cha nursing kwene hizi college lakini changamoto ni kujua kama kimesajiliwa au Laah!!

Maana kuna watu kama wanne wamesoma vyuo havijasajiliwa hivo hawaajiliki

chuo chenyewe n chimala college kipo kusini njombe mbeya huko

msaada plz
 
Back
Top Bottom