Najua Huwezi Sahau Lakini Je Can You Really Forgive Someone Who Cheated on You

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,356
Nadhani Hapa watu huwa wanasamehe kwa maneno lakini kinyongo kinakuwepo …….. Ukweli ni kwamba Things Will Never Be The Same Again. Relationship Needs Trust na kuaminiana kutakuwa hakupo tena
 
Nadhani Hapa watu huwa wanasamehe kwa maneno lakini kinyongo kinakuwepo …….. Ukweli ni kwamba Things Will Never Be The Same Again….. Relationship Needs Trust na kuaminiana kutakuwa hakupo tena….


:A S thumbs_up:
 
Mhh sidhani!!!Ni ngumu kweli kuamini haitatokea tena wakati imeshatokea mara moja!!!
Mara nyingi mwizi haibi mara moja....it's an ongoing pattern!!
 
Yes. I did.

Did you really.... na je umemsamehe kabisa wala umyanyasi kwa kile alichokutendea (some sort of blackmail)...... au ndio ameshakupa tiketi na wewe some sort of a free pass na wewe kumcheat once
 
mmmmhhh kwakweli..
ni kweli tunasamehe lakini kushau ni vigumu...
na mi naamini wapo wengi sana wanaosamehe..
kwani kama si hivyo dunia hii ya sasa kungekuwa hakuna baba na mama..
wengi wange kuwa wame divorce...
ni kweli nakubaliana nawe we need trust ( trust is like a virgin u ca only break it once)
lakini saa nyingine tunaishi bila hiyo trust kwa sababu ya majukumu kama tayari unafamilia au vitu kama hivyo...
samahani kwa maneno mengi ..

AD
 
kuna ku cheat kwa aina mbili...kwanza ni kusex na mt mwingine.casual sex ya mara moja tu au mbili...hii inaweza sameheka kwa baadhi ya watu...pili ni kuwa na mahusiano ya mda mrefu au mfupi na mtu mwinginepamoja na kuwa involved kihisia pia....hii ndio ngumu na ndio inayovunja ndoa nyingi...
 
The boss cheat ni kucheat no metter mara ngapi kwa mda gani!kusahau ningumu hasa kwetu wanaume tunakuwa nakinyongo pamoja na kisasi na huwa mara nyingi tunatumia makosa tuliyotendewa kama fimbo kwa yule aliyetukosea,lakini wenzetu wanawake huweza kusamehe na kusahau na kuanza maisha mapya na mwenziye kwetu wanaume ukisamehe jua kwamba lazima eti ukalipize kisasi hivyo saa nyingine inatokana na mtu kwa mtu.
 
nimemaanisha kuwa mwanamke serious na anaekupenda kweli anaweza samehe uki cheat na mwanamke for sex only na sio relationship.....kwa sababu akijua tayari una on going relationship na mwingine kesi yake kubwa......kwa sababu insecurities na fear of rejection zinaingia pia.....kwa hiyo ku cheat for sex na housegirl au barmaidsio swa na kuwa na affair na mfanyakazi mwenzio au ex girlfriend...wanawake wanaumizwa na affair zaidi kuliko umeenda bar ukalewa na kuchukua kicheche njiani....
 
na mi naamini wapo wengi sana wanaosamehe..
kwani kama si hivyo dunia hii ya sasa kungekuwa hakuna baba na mama..
wengi wange kuwa wame divorce...
AD

Nadhani watu huwa wana avoid divorce because of the concequences, sio kwamba bado wanapendana... watoto, familia n.k. lakini deep now kwenye ndoa nyingi mambo sio shwari....., confirmation ya hii ni kwamba sasa divorce ni nyingi kuliko zamani sababu mabinti wana uwezo kwahiyo wanaweza wakajitegemea bila kutegemea mwanaume..... zamani mwanaume ndio alikuwa anainitiate divorce, sasa hata kina dada
 
anything happens for a reason!to me anything thats hurts u its not urs.
 
Hakika kusamehe ni vigumu sana kama kuna uhusiano ulioingilia kati mahusiano yako na mwenzi wako. Sio rahisi kusamehe na kusahau wakati unamwona mbaya wako yuko anatanua na mumeo. Kisasi kitalipizwa hata iwe ni baada ya miaka kumi. Hakuna kusamehe.
Msaada wa Mungu utahitajika hapo.
 
ni ngumu kusamehe,unakuwa unaishi under constant fear...kuwa atacheat tena.ni bora muende separate ways.
 
kusamehe inawezekana, na kusahau inawezekana, pale aliekuumiza ataonyesha kubadilika.
 
Kutosamehe ndio sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi katika dunia ya leo,kwa nini ushindwe kusamehe na kusahau?Usijifikirie wewe peke yako kuwa amekuudhi,hebu fikiria watoto na familia mliyojenga,je hao wote wanastahili adhabu kwa sababu tu wewe huwezi kusamehe?Kikubwa ni kutafuta sababu ni nini hasa kimemfanya mwenzi wako akacheat na ikipatikana itafutiwe tiba na sio kukimbilia hasira na kutosamehe.Wakati mwingine inawezekana kuwa wewe ambaye hutaki kusamehe ndio chanzo cha hayo yote,na wakati mwingine unamtuhumu mtu kwa kumhisi wakati yeye wala hana mambo hayo.Guys lets think twice on this before taking any judgement and lets watch ourselves and think,kama wazazi wetu wangekuwa wepesi wa kufanya mambo kama tunayoyafanya sisi leo hii, sisi tungekuwa wapi?
 
nikisamehe tu ujue na mimi nilisha fanya.............kama sivyo basi i promise my heart kufanya na mimi
 
Back
Top Bottom