Najua hujui, basi ngoja nikujuze sasa

Najua hujui, basi ngoja nikujuze sasa

...and WRONG, also!
Kwa physics yangu ndogo sana naelewa kwamba kuna tofauti kati ya light years na normal ones.

Hapa anazungumzia light years ambayo spidi yake ni kubwa sana kuliko ya kawaida.

Hivyo akisema five light years ni karibia sawa na sixty five normal years naweza ona kuna hoja.

Sayansi inasema spidi ya mwanga kwenye space ni mita milioni mia tatu kwa sekunde sasa piga hesabu za five light years in space utapata miaka mingapi ya kawaida.
 
Kwani huku vichwa maji ni wengi sana?
Sijasema huku vichwa maji, la hasha kila jambo lina mahala pake, ndio maana majukwaa yakawekwa tofauti, hata hao wa jukwaa la intelligence baadhi wanapita humu, ila ungeweka kule ingekuwa vema, au la, ungeidadavua, mambo ya sayansi hayaendi kistori stori tu.
 
I wish I had enough time to reason with you.

Don't ever tell me, mtu fulani akipima urefu uleule, kwa mfano, akitumia miles na mwingine akaupima kwa kilometers, then zikikonvatiwa hizo measurements kwenda kwenye common SI unit, kwamba the resulting quantity (figure) inakuwa tofauti! Which school did you go?


Kwa physics yangu ndogo sana naelewa kwamba kuna tofauti kati ya light years na normal ones.

Hapa anazungumzia light years ambayo spidi yake ni kubwa sana kuliko ya kawaida.

Hivyo akisema five light years ni karibia sawa na sixty five normal years naweza ona kuna hoja.

Sayansi inasema spidi ya mwanga kwenye space ni mita milioni mia tatu kwa sekunde sasa piga hesabu za five light years in space utapata miaka mingapi ya kawaida.

NB: ^The fallacy of blinding with science specializes in the use of technical jargon to deceive the audience into supposing that
utterances of a scientific nature are being made, and that objective experimental evidence supports them.^
 
Sir in my view,

The interval over which change occurs we call it a Time. Although, Aging is a process of gradual and spontaneous change, resulting in maturation through childhood, puberty, and young adulthood, and then decline through middle and late age.

My conclusion; kama hiyo spaceship ya speed ya mwanga ingetokea kufanikishwa basi ilo jambo lingewezekana ila hadi sasa ni kitu kisichowezekana.
Assuming it becomes possible to make such fast vehicle.
Scientifically, chemical reactions depend on temperature, pressure and chemicals that act as catalysts.
Body cells do not depend on speed to control the mitochondrial activities. The time intervals for completion of chemical reactions remain unaffected by speed and so do the aging process.
 
Kwa physics yangu ndogo sana naelewa kwamba kuna tofauti kati ya light years na normal ones.

Hapa anazungumzia light years ambayo spidi yake ni kubwa sana kuliko ya kawaida.

Hivyo akisema five light years ni karibia sawa na sixty five normal years naweza ona kuna hoja.

Sayansi inasema spidi ya mwanga kwenye space ni mita milioni mia tatu kwa sekunde sasa piga hesabu za five light years in space utapata miaka mingapi ya kawaida.
Kwenye hiyo physics yako ndogo ujue hili kuanzia leo.
Light years hutumika kama mbadala wa kutaja distance kwasababu light hufika mbali sana katika muda mfupi. Hii haimaanishi ukisema light years unazungumzia abnormal time, la hasha. Light husafiri kwa speed ileile iwe Makambako, Marekani, kwenye vacuum au outer space.
One light year = 9.5 trilion kilometers. ( Yaani, kwenye mwaka mmoja light inatembea zaidi ya km trilioni 9.5).
.
Kuanzia leo ujue kua light years haimaanishi abnormal years bali ni mbadala wa kukwepa kuandika madistance makubwa mno yanayochosha kusoma.
 
Back
Top Bottom