Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,639
- 2,086
FAHAMU:
Kama utaondoka dunian ukiwa na miaka 15 na kuelekea nje ya dunia ukiwa ndani ya spaceship kwa speed ya mwanga. Na ukatumia miaka 5 kwenye space kipindi utakaporudi duniani utakuwa na miaka 20 tu marafiki zako wote uliowaacha wakiwa na miaka 15 utawakuta wakiwa na miaka 65