Najivunia maendeleo nikiwa kama mbunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najivunia maendeleo nikiwa kama mbunge

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Oct 30, 2010.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Watanzania wenzangu, hii inasikitisha sana. Mh. Slaa aliliona hili akalizungumzia kushusha bei ya simenti na mabati. Kama umewahi kuwa mbunge katika jimbo fulani kwa miaka kadhaa, je unaweza kujivunia rekodi ya maendeleo kama inavyoonekana katika picha hizi?
  Nawakillisha tu......Tuna masaa machache kuleta ukombozi wa pili kwa Mtanzania baada ya ule wa Uhuru 1961. Maoni yanakaribishwa.


  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Huyu ni kama mbunge Mo wa singida huyu. Duh, hata mwenyewe anashangaa na kusita kuingia ndani. Hakika Slaa ndo mkombozi wetu ili tuondokane na umaskini huu. Loh!
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Hapo Mo anawachunguria wapiga kura wake kama bado wako hai!
   
 4. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Ndo maisha vidole haviwezi kulingana hata siku hata akija rais robo tatu ni malaika sembuse mbunge ambaye anategemea zaidi fungu toka serikalini kuleta maendeleo jimboni mwake.
  Kesho Kapige Kura Mapema Tafadhari
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  maendeleo hayaletwi na mbunge pekee...
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh ila CCM mwaka huu cha moto wamekipata kwenye mpaka wanzunguka nyumba hadi nyumba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...