Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mwaka huu tutaumbuka! Jana kuna mzee mkongwe alikuwa anatuambiwa watanzania ni wazaramo, wahehe na waluguru. Wengine wote anajua walipotoka, sijui msumbiji na wapi!
Lakini tuache unazi, bendera letu la Tanganyika nalo baya kama la Tanzania, tukimaliza hili timbwili la kuvunja Muungano tukae tubuni rangi nyingine. Utakuta kwenye shughuli za kitaifa mahala panapambwa na mirangi ya bendera, green and yellow and black,a toxic combination.
Msekwa anahojiwa saa hizi juu ya wapi zilipo hati za Muungano, anasema aliziona lakini hajui zilipo!!!!!
mimi mtanganyika bwana....?
Mzanzibari aisee