Mzee ukitaka wako peke yako nenda kuleeee chini kwenye jukwaa la wageni umshike mkono ujenae naukiingia nae hapa shurti umfunge kamba mguuni la sivyo ataibiwa ukishindwa we njoo ubanane na masupa staa
Madame B , Mamdenyi , Lady doctor. Tafadhali nifanyieni promotion.
Upweke umenichosha, Namtaka wa kunikumbusha ujana.
[EMAIL="hajambo...@The"]erick[/EMAIL] b52 hajambo?
Ndugu mwenyekiti Baba V, pamoja na wakereketwa wote wa huu ukumbi.
Kwa moyo wangu wote nimeamua kujitupa uwanjani kutafuta wangu wa Ubani, wa kulia na kufutana machozi, wa kunivusha daraja hili la Uzee, wa kunikumbusha miaka kadhaa iliyopita.
Najua mlishaanza kugawana. Mara Lady doctor wa fulani. Hao siwataki maana kisu changu hakutaki shurba. Nawataka wote waliobaki baada ya mgao. Najua hawa tutaendana.
Sina hila, awe na sifa moja tu. Nayo ni jinsia nyingine ukiondoa hii yangu. Mengine ni mengineyo TU.
Tafadhali sina malengo ya kingilia mihimi iliyokwisha jengeka.
Nimetimiza Haki yangu ya Kujieleza.
Mzee ukitaka wako peke yako nenda kuleeee chini kwenye jukwaa la wageni umshike mkono ujenae naukiingia nae hapa shurti umfunge kamba mguuni la sivyo ataibiwa ukishindwa we njoo ubanane na masupa staa
wewe mbona mbinafsi ivo?
Mamdenyi nisaidie mwenzio, kininiu kinasinyaa kwa kukosa mazoezi.
Mzee umesema unataka chako chako tu,
nakushauri ufuata ushauri wa Lady doctor kuwa kaaa
hapo mlangoni ungojee mgeni.
Vinginevyo kitasinyaa hadi kitaishia tumboni,
ha ha haa za leo lakini.
ha ha haaaa
unataka wa kwako peke yako kama mama yako aliyekuzaa
kachonge umweke chumbani, ha ha haaa
pole zako.