Ndugu mwenyekiti Baba V, pamoja na wakereketwa wote wa huu ukumbi.
Kwa moyo wangu wote nimeamua kujitupa uwanjani kutafuta wangu wa Ubani, wa kulia na kufutana machozi, wa kunivusha daraja hili la Uzee, wa kunikumbusha miaka kadhaa iliyopita.
Najua mlishaanza kugawana. Mara Lady doctor wa fulani. Hao siwataki maana kisu changu hakutaki shurba. Nawataka wote waliobaki baada ya mgao. Najua hawa tutaendana.
Sina hila, awe na sifa moja tu. Nayo ni jinsia nyingine ukiondoa hii yangu. Mengine ni mengineyo TU.
Tafadhali sina malengo ya kingilia mihimi iliyokwisha jengeka.
Mzee ukitaka wako peke yako nenda kuleeee chini kwenye jukwaa la wageni umshike mkono ujenae naukiingia nae hapa shurti umfunge kamba mguuni la sivyo ataibiwa ukishindwa we njoo ubanane na masupa staa