Najiunga nanyi tukomboe nchi yetu!

Najiunga nanyi tukomboe nchi yetu!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,946
Sallaamu ! nimeamua kujiunga na wapambanaji wenzangu ili tuendeleza mapambano ya ukombozi wa nchi .
Jina langu hilo ni Jamii forum kikwetu!
 
Aikambe mangi!

Karibu sana mkubwa. Na umekuja wakati muafaka ambapo nguvu ya umma inajiandaa kuangusha serikali dhalimu ya muungwana!
 
Sallaamu ! nimeamua kujiunga na wapambanaji wenzangu ili tuendeleza mapambano ya ukombozi wa nchi . Jina langu hilo ni Jamii forum kikwetu!
Unakaribishwa kwa mikono miwili hapa janvin mkuu.
 
Back
Top Bottom