Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Ina maana Polisi hawakuhusika kwa namna yoyote ile.?Kasomeni upya habari hiyo, waliozika ni wavuvi baada ya kuokoa miili hiyo na kutokana na kuwa imeharibika sana wakaamua kuizika.
Yes, ila badae walijulishwa.Ina maana Polisi hawakuhusika kwa namna yoyote ile.?
Najiuliza kwanini Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo imeamua kuzika miili ya watu 6 waliookotwa mto Ruvu bila uchunguzi kufanyika, huku wakijua kuwa kuna familia zipo kwenye taharuki ya kupoteza ndugu zao. Hata kama miili ilikua imeharibika sana ilipaswa kuchukuliwa sampuli kabla ya kuzikwa. Sioni kuwa hili ni kosa la bahati mbaya, unless wanasheria watuambie sheria zinasemaje kwenye hili. Lakini bado maswali ni mengi kuliko majibu.!
Malisa GJ
Yes, ila badae walijulishwa.
Baada ya kujulishwa kuna hatua za kufukua zilofanyika ili tujue kama ndugu yetu yumo?Yes, ila badae walijulishwa.
Very wrong nashauri ifukuliweYes, ila badae walijulishwa.
Siyo kidogoKuna shida hapo.... Na hii kitu imenyimwa kabisa public attention
Swali zuli sana hiliIna maana Polisi hawakuhusika kwa namna yoyote ile.?