Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na Vifo. Waitaka Tanzania kuheshimu Demokrasia na Utawala wa sheria

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Jumuiya ya Umoja wa Ulaya hivi leo wametoa tamko lifuatalo kwa ushirikiano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wenye uwakilishi Tanzania na kuungwa mkono na Mwakilishi na Mabalozi wa Norwei, Kanada na Uswisi

"Tunashuhudia kwa wasiwasi muendelezo wa matukio ya hivi karibuni yanayotishia nidhamu ya kidemokrasia na haki za Watanzania, katika nchi iliyojizolea umaarufu mkubwa duniani kwa utulivu, amani na uhuru.

"Tumesikitishwa na kifo cha mwanafunzi aliyepigwa risasi mwisho wa juma lililopita Akwilina Akwilini Bafta, anayeombolezwa nchi nzima. Tunakaribisha wito wa Rais Magufuli wa uchunguzi wa haraka. Vilevile, tunatoa wito wa uchunguzi wa kina katika vifo vyote vya wanaharakati wa kisiasa na haki za binadamu. Tunatoa pole za dhati kwa familia zao zote.

"Tuna wasiwasi na ongezeko la ripoti za ukatili katika miezi ya hivi karibuni, kama vile: jaribio lililohatarisha maisha ya Mbunge Tundu Lissu; kupotea kwa watu kama mwandishi wa Habari Azory Gwanda; pamoja na mashambulio yaliyopoteza uhai wa viongozi wa serikali, wawakilishi wa vyombo vya usalama na wananchi yaliyotokea Mkoa wa Pwani ndani ya miaka miwili iliyopita.

"Tunaungana na watanzania katika kuziomba mamlaka husika, kutunza amani na usalama wa michakato ya kidemokrasia, nchi, watu wake na kuheshimu utawala wa sheria bila udhalimu."
IMG_20180223_194559.jpg
 
weak statements with no effect to dictators!
 
Waambie hatukubali kutawaliwa tena!! Wakitaka wawachukue Chadema wakawahifadhi kwao Ulaya!!
 
Si muda mrefu wanaanza kushughulikiwa ,wasije aanza tena lalamika ooh!,wanabambikiwa kesi kwa kua ni waupande ule,mhalifu ni mhalifu tu,wakae mkao wa kupokea na yale wasioyatarajia ,nafahamu kuna baadhi wamekwisha tanguliza kinga kwao
 
Hao EU na UN sijui mabalozi hawatatusaidia, tujisaidie wenyewe. Mbona Syria wanajaribu?! Mbona Tunisia waliweza?! Na mbona Egypt na Libya waliweza?!
Tusiwasubiri UN na EU tupambane na hawa maharamia sisi wenyewe.
UN hawana msaada zaidi ya kuweka vikwazo na matamko
 
Let us be careful with this PPP,doing Business with Private people.
Rejea Tanzania kugomea mkataba wa EPA,hawa wanafiki wanatafuta pakuingilia.
 
Jumuiya ya Umoja wa Ulaya hivi leo wametoa tamko lifuatalo kwa ushirikiano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wenye uwakilishi Tanzania na kuungwa mkono na Mwakilishi na Mabalozi wa Norwei, Kanada na Uswisi

"Tunashuhudia kwa wasiwasi muendelezo wa matukio ya hivi karibuni yanayotishia nidhamu ya kidemokrasia na haki za Watanzania, katika nchi iliyojizolea umaarufu mkubwa duniani kwa utulivu, amani na uhuru.

"Tumesikitishwa na kifo cha mwanafunzi aliyepigwa risasi mwisho wa juma lililopita Akwilina Akwilini Bafta, anayeombolezwa nchi nzima. Tunakaribisha wito wa Rais Magufuli wa uchunguzi wa haraka. Vilevile, tunatoa wito wa uchunguzi wa kina katika vifo vyote vya wanaharakati wa kisiasa na haki za binadamu. Tunatoa pole za dhati kwa familia zao zote.

"Tuna wasiwasi na ongezeko la ripoti za ukatili katika miezi ya hivi karibuni, kama vile: jaribio lililohatarisha maisha ya Mbunge Tundu Lissu; kupotea kwa watu kama mwandishi wa Habari Azory Gwanda; pamoja na mashambulio yaliyopoteza uhai wa viongozi wa serikali, wawakilishi wa vyombo vya usalama na wananchi yaliyotokea Mkoa wa Pwani ndani ya miaka miwili iliyopita.

"Tunaungana na watanzania katika kuziomba mamlaka husika, kutunza amani na usalama wa michakato ya kidemokrasia, nchi, watu wake na kuheshimu utawala wa sheria bila udhalimu."
Mungu wabariki wazungu .
 
Back
Top Bottom