Najiuliza kuhusu ukimya, pale ambapo pande mbili zinapopingana mmoja akaamua kunyamaza

Ningumu Kaka,Ila ukimya nifimbo mbaya Sana kwa mpinzani wako,ukiweza utashinda mengi
Mkuu sio ngumu Sana ni vile unatune mihemuko yako na kuamua kukaa kimya, hata mtu aongee vipi wewe unakaa kimya..Ukimya si siraha hatari Sana
 
Nakumbuka Kuna mdogo wangu yy hata akimkosea mkewe nyumbani basi akifika home mke ananiukiza yy n kimya t,anakula anaenda kulala,mke hata akimwambia "we Malaya"jamaa kimya t ,zinapita ck mbili mke anarudi kawaida,kweli ningumu
Mkuu sio ngumu Sana ni vile unatune mihemuko yako na kuamua kukaa kimya, hata mtu aongee vipi wewe unakaa kimya..Ukimya si siraha hatari Sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom