Najitoa rasmi Tigo

Najitoa rasmi Tigo

Na Airtel Leo wameenda kutoa ushahidi jiandae kuacha nayo had mwaka uishe utakua umevunja laini zote
 
Ani kwanza jina lenyewe sikuhizi linatumika vibaya..imagine unamwambia muuza duka "NAOMBA TIGO"
Enewei ngoja nisikilizie wanaweza wakaongeza mabando watu wakiwa wachache.. Jokes


KichWa bOX
 
Baada ya kuona uupuzi ule, nikaidumbukiza kwenye gesi wife akasema mbona unavunja line nikamjibu kuna videmu Nina isumbua akafurahii kumbe nina yangu moyooni
sasa wewe una siri gani mpaka uhangaike hivyo?
 
Back
Top Bottom