Najitoa rasmi Tigo

Najitoa rasmi Tigo

Fanya hiv

Screenshot_20211103-154131_Gallery.jpg
 
Ajili za kuambiwa changanya.na.zako.wasalimie huko uendako " madogoli" genda ubwele !
 
Karbu halotel mkuu...achana na hao wanaokubezaa...net work yenyew kinyonga afu wanafanya kuvujisha tena faraga zetuu ..dadadeq
 
Hakuna unaemkomoa si ajabu hata vocha zenyewe huwekagi, na kama unaweka basi vijero na kulipa madeni tu.

yaan watu wachache na hasira zenu mnaungana et kuvunja lain za tigo, ili kuwakomoa, mnaakil kweli? yaan hao tigo wanaingiza wateja wapya kila siku na kamwe hawawez teteleka sabbu ya wajinga wachache wanaojitoa ktk huduma zao..

ukweli mchungu

Unawaita wajinga lakini wako sahihi....wafikishie ujumbe tigo
 
Back
Top Bottom