Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,761
Sina mengi ina namshukuru Mwanasheria msomi wa TIGO Bw. FREDY. Naachana na TIGO RASMI.
Mimi jana niliivunja line yangu ya tigoSina mengi ina namshukuru Mwanasheria msomi wa TIGO Bw. FREDY. Naachana na TIGO RASMI.
Wewe ni kidagaa tu hata ukivunjaMimi jana niliivunja line yangu ya tigo
Kereng'ende ww nyie ndio mnafanya wasukuma waonekane wehu Sasa nini hiki au haujui bando zipo juu alafu unaleta maujinga tumalize bando.JAMANI wenzangu hapa naelekeza jinsi ya kupata internet bure bonyeza hapo usisahau kusubscribe https://www.youtube.com/c/NUHUONLINETV?sub_confirmation=1 NATUMIA JINA LA NUHU ONLINE TV /// kajifunze
Sina mengi ina namshukuru Mwanasheria msomi wa TIGO Bw. FREDY. Naachana na TIGO RASMI.
Wewe funzaWewe ni kidagaa tu hata ukivunja
tigo mtandao, sio uko uliko fika ww mkuu[emoji23][emoji23]Unaongelea Tigo ipi kwani?
Kereng'ende ww nyie ndio mnafanya wasukuma waonekane wehu Sasa nini hiki au haujui bando zipo juu alafu unaleta maujinga tumalize bando.
Unaongelea Tigo ipi kwani?
Nyumbu kuna kitu huwa wanafanya kikafanikiwa hakunaIle ya kujitoa voda iliishia wapi?