Najitahidi kumsahau lakini nashindwa kabisa

Najitahidi kumsahau lakini nashindwa kabisa

Mr tungaraza

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
32
Reaction score
20
Saa 2 usiku nitawaletea story ya kile kinachoendelea katika maisha yangu ya kimahusiano. Tafadhali wana JF nitaomba ushauri wenu wa hali na mali.

SCENE ONE
Hofu ya kutokuwa na Imani nae ilianza pale tu nilipoanza kuona message ya boss wake kwenye simu yake inasomeka "mke wangu" that time alienda bafuni kuoga ndipo nikachukua simu yake na kuingia kwenye msg,

Niliumia sanaaaaa na mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda kasi zaidi.
Alinikuta nimejiinamia kwenye Kochi na kuniuliza
"vipi mbona uko hivyo"? Nikamjibu Niko sawa tu.

Kwa kuwa alikuwa ananijua vizuri kwa maana ya kuzoeana kwa mda mrefu Kama wapenz tuliokuwa tunaishi pamoja kwa maandalizi ya kuwa mume na mke.

Alisikika anasema tena "Mimi najua unatatizo na Kama hutaki kusema basi kaa nalo ivoivo"
baada ya kusema hivyo nikaamua kumuuliza " S" una mahusiano naye Kama nani?("S" ni herufi ya kwanza ya jina la huyo anayemwita boss wake)

naye akanijibu "kwanini umeniuliza hivyo"? Nikamwambia we nijibu nina maana yangu. Akanijibu "Sina mahusiano naye" nikachukua simu yake nikamwonyesha ile msg baada ya kuisoma akanijibu
"mbona msg ya kawaida tu" nikamwambia msg ya kawaida ya kuitwa mke wangu? kufupisha tukio hili nikaamua nikae kimya na kujiaminisha Kama sijaona kitu chochote, ila Kama mwanaume nikaweka kitu kifuani kwangu ipo siku isiyo na jina nitajua ukweli.

Ni kweli Mwanzoni huyu mwanamke alikuwa ananiambia jinsi asivyofurahia kufanya kazi na mtu ambaye ana hisia nae za kimapenz ili khari anajua kuwa ana mahusiano mengine tena very serious.


Siku moja niliamua kumwita yeye na huyo boss wake (sipendi kumwita boss wake ila hamna namna nyingine coz ndiye aliyekuwa amemkabidhi duka lake la.............awe Kama muuzaji).
Nikajaribu kumwambia aachane na huyu demu simply anajua nini kinaendelea Kati yangu, even kumtambulisha kwa wazazi wangu. Kwanza nikamweleza kuhusu ile msg aliyomtumia mpenz wangu, ni kweli alikili alituma ila alituma kimakosa (japo haikuniingia kwa mkichwa). Alikili amekosa then nikarahisisha maisha ya mahusiano kwa kusamehe.

SCENE TWO
Katika harakati za kuishi pamoja,alianza kuona tofauti katika mwili wake kubwa ni kutokuziona siku zake, niliamua kwenda dukani kununua kipimo Cha kupima mimba, nikamleta akapima kwa Bahati nzuri au mbaya japo kwangu naiita Bahati nzuri akajikuta ana mimba.

Kama mwanaume ninayejitambua na kuthamini familia nitakayo hitaji kuwa nayo kwa maana ya kuipa matunzo yote yanayostahili sikufurahia Sana, kwanini nasema sikufurahia? kwanza kwa mujibu wa maelezo yake ni kuwa alikuwa anajaribu Kama ninaweza kumpatia ujauzito (Kama injini nzima au mchina) au siwezi, anasema "nimekuwa najaribu takribani Mara 5 (kutegesha) ili aone Kama naweza,
Katika tukio hili binafsi nilimwona Kama mjinga coz ujinga huwa haujaribiwi, think Kama nisingekuwa na uwezo wa kumpa hitaji lake la mimba kwa maana hiyo angeweza tafuta sababu za kuachana mapema zaidi,

Kama kumridhisha huyu mwanamke I can't lie alikuwa analizika Sana kwenye tendo,Kuna mda hadi nilikuwa namwambia miongoni mwa wanawake wanao furahia tendo la ku..t..ana basi na yeye kwenye top ten Africa mashariki na Kati hakosi, nilikuwa nahakikisha anakojoa Mara 4 zikupungua basi round 3 ndipo mzee baba naruhusu bomba litoe maziwa.

Back to ma point,baada ya kutambua hivyo tuliamua tufanye kale kautaratibu ka watoto wa vyuoni nadhani tunakajua kwa lugha ya mkoloni kanaitwa "abortion" asikwambie mtu kutoa mimba ni kazi nyingine ngumu, mbaya na mateso,nasema hivi kwa sababu nilishuhidia kipindi Cha utekelezaji wa hii ilani kwa huyu mwanamke, nakumbuka dawa alimeza saa mbili usiku ila baada ya masaa Kama mawili mbele, nikaanza kuona anavyojigeuza pande zote 16 za dunia full kulalamika Mara tumbo, nyonga, mgongo daaaah ilikuwa ni balaaa zito,

Kufika saa nane kwenda tisa usiku walau tumbo likamwachia akalaa mpaka asubuhi, mwsh wa siku alifanikiwa na mimba ikawa imetoka. Maisha yakaendeleaaaa.


SCENE THREE
Siku sikapita masaa yakasogea, Aman ikarudi tena na mipango yetu ya kimaendelea tukazidi kuipanga vizuri. Mabadiliko yalianza tena pale nilipoona mabadiliko ya kimawasiliano yanazidi kwa simu yake, kipindi yupo kazini mda wake wa kurudi home ulikuwa saa Tatu usiku, ofisi kwake na kwangu pana urefu wa mita usiozidi 200.................................

-ITAENDELEA-
NB: HATA ROBO SIJAFIKA YA HII TRUE LIFE STORY
ice_2019-11-27-15-48-18-882~2.jpeg
 
Saa 2uck nitawaletea story ya kile kinachoendelea katika maisha yangu ya kimahusiano, tafadhari Wana Jf nitaomba ushauri wenu wa Hari na mali,,,,,,,,,,,,
Usije ukaleta hapa, kuna jukwaa mahususi ka mambo hayo.
 
Utakua huna kazi za kufanya/majukumu.
 
Jina la kiume, profile picture BONGE la Demu Umeshazingua aisee
 
Saa 2 usiku nitawaletea story ya kile kinachoendelea katika maisha yangu ya kimahusiano. Tafadhali wana JF nitaomba ushauri wenu wa hali na mali.
Mbona unaonekana ni mwanamke mzuri, haya tunasubiri utueleze anavyokutesa huyo mme wako
 
SCENE ONE

Hofu ya kutokuwa na Imani nae ilianza pale tu nilipoanza kuona message ya boss wake kwenye simu yake inasomeka "mke wangu" that time alienda bafuni kuoga ndipo nikachukua simu yake na kuingia kwenye msg.

Niliumia sanaaaaa na mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda kasi zaidi.
Alinikuta nimejiinamia kwenye Kochi na kuniuliza, "vipi mbona uko hivyo"? Nikamjibu niko sawa tu.

Kwa kuwa alikuwa ananijua vizuri kwa maana ya kuzoeana kwa muda mrefu Kama wapenz tuliokuwa tunaishi pamoja kwa maandalizi ya kuwa mume na mke.

Alisikika anasema tena "Mimi najua unatatizo na Kama hutaki kusema basi kaa nalo ivoivo" Baada ya kusema hivyo nikaamua kumuuliza " S" una mahusiano naye kama nani?("S" ni herufi ya kwanza ya jina la huyo anayemwita boss wake)
naye akanijibu "kwanini umeniuliza hivyo"? Nikamwambia we nijibu nina maana yangu. Akanijibu "Sina mahusiano naye" nikachukua simu yake nikamwonyesha ile msg baada ya kuisoma akanijibu
"mbona msg ya kawaida tu" nikamwambia msg ya kawaida ya kuitwa mke wangu?

Kufupisha tukio hili nikaamua nikae kimya na kujiaminisha kama sijaona kitu chochote, ila kama mwanaume nikaweka kitu kifuani kwangu ipo siku isiyo na jina nitajua ukweli.

Ni kweli mwanzoni huyu mwanamke alikuwa ananiambia jinsi asivyofurahia kufanya kazi na mtu ambaye ana hisia nae za kimapenz ili hali anajua kuwa ana mahusiano mengine tena very serious.

Siku moja niliamua kumwita yeye na huyo boss wake (sipendi kumwita boss wake ila hamna namna nyingine coz ndiye aliyekuwa amemkabidhi duka lake la.............awe ama muuzaji).

Nikajaribu kumwambia aachane na huyu demu simply anajua nini kinaendelea kati yangu, even kumtambulisha kwa wazazi wangu. Kwanza nikamweleza kuhusu ile msg aliyomtumia mpenzi wangu, ni kweli alikiri alituma ila alituma kimakosa (japo haikuniingia kwa mkichwa). Alikili amekosa then nikarahisisha maisha ya mahusiano kwa kusamehe.

SCENE TWO

Katika harakati za kuishi pamoja, alianza kuona tofauti katika mwili wake kubwa ni kutokuziona siku zake, niliamua kwenda dukani kununua kipimo cha kupima mimba, nikamleta akapima kwa Bahati nzuri au mbaya japo kwangu naiita bahati nzuri, akajikuta ana mimba.

Kama mwanaume ninayejitambua na kuthamini familia nitakayohitaji kuwa nayo kwa maana ya kuipa matunzo yote yanayostahili sikufurahia sana, kwanini nasema sikufurahia? Kwanza kwa mujibu wa maelezo yake ni kuwa alikuwa anajaribu kama ninaweza kumpatia ujauzito (Kama injini nzima au Mchina) au siwezi, anasema "nimekuwa najaribu takribani mara 5 (kutegesha) ili aone kama naweza.

Katika tukio hili binafsi nilimwona kama mjinga coz ujinga huwa haujaribiwi, think kama nisingekuwa na uwezo wa kumpa hitaji lake la mimba kwa maana hiyo angeweza tafuta sababu za kuachana mapema zaidi.

Kama kumridhisha huyu mwanamke I can't lie alikuwa anaridhika sana kwenye tendo, kuna muda hadi nilikuwa namwambia miongoni mwa wanawake wanao furahia tendo basi na yeye kwenye top ten Africa Mashariki na Kati hakosi. Nilikuwa nahakikisha anakojoa mara 4 zikupungua basi round 3 ndipo mzee baba naruhusu bomba litoe maziwa.

Back to ma point. Baada ya kutambua hivyo tuliamua tufanye kale kautaratibu ka watoto wa vyuoni, nadhani tunakajua kwa lugha ya mkoloni kanaitwa "abortion".

Asikwambie mtu kutoa mimba ni kazi nyingine ngumu, mbaya na mateso. Nasema hivi kwa sababu nilishuhidia kipindi cha utekelezaji wa hii ilani kwa huyu mwanamke, nakumbuka dawa alimeza saa mbili usiku ila baada ya masaa kama mawili mbele, nikaanza kuona anavyojigeuza pande zote 16 za dunia full kulalamika Mara tumbo, nyonga, mgongo daaaah ilikuwa ni balaaa zito.

Kufika saa nane kwenda tisa usiku walau tumbo likamwachia akalala mpaka asubuhi, mwsho wa siku alifanikiwa na mimba ikawa imetoka. Maisha yakaendeleaaaa.


SCENE THREE

Siku sikapita masaa yakasogea, amani ikarudi tena na mipango yetu ya kimaendeleo tukazidi kuipanga vizuri.

Mabadiliko yalianza tena pale nilipoona mabadiliko ya kimawasiliano yanazidi kwa simu yake, kipindi yupo kazini mda wake wa kurudi home ulikuwa saa tatu usiku. Ofisi kwake na kwangu pana urefu wa mita usiozidi 200.

-ITAENDELEA-
NB: HATA ROBO SIJAFIKA YA HII TRUE LIFE STORY
ice_2019-11-27-15-48-18-882~2.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom