Najitahidi kumsahau lakini nashindwa kabisa

Najitahidi kumsahau lakini nashindwa kabisa

Sijaisoma yote maana imenichukiza tu, ivi mwanaume gan had mkeo anakujibu anavotaka? Yan ukute sms kama hiyo halafu anakujibu eti mbona ya kawaida tu!

Aiseee inaonekana unampenda sana na wewe hakupendi, kuwa mwanaume mwanamke usimlegezee hivo, atakupelekesha mpaka usizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom