Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

Siku ingine uwe mbishi konki huku unamsuta.Sijaona sehemu kama ulimfokea na kumwambia aache ungedere!
 
We were having dinner kwa amani and nikashangaa tunaanza kuandamwa from no where. But sikusema mengi, nilikua namwangalia alivyo na chuki kwetu.
 
Siku ingine uwe mbishi konki huku unamsuta.Sijaona sehemu kama ulimfokea na kumwambia aache ungedere!
Sikufokaa but badae nilikasirika nikawambia mnachanganya hulka ya mtu. Ilibidi nimuulize ina maana hakuna watu wenye tabia hizo huko Kenya.

Nikamwambia hata sisi Tanzanians hatuwakubali nyie cuz ya ujuaji wenu. Na please no more stories about my country. Mnaweza kurudi kwenu
 
Kuna vitu vibaya vya kusema kuhusu nchi zote, na kuna vitu vizuri vya kusema kuhusu nchi zote.

Mara nyingine, maneno mabaya anayosema mtu, yanatuonesha zaidi huyo mtu alivyo, kuliko huo ubaya anaousema.

Kwenye fake love, Watanzania bado hatujawafikia Wakenya, ingawa tunawakimbilia siku hizi.

Fake love ya Wakenya ni ya kimataifa, Watanzania bado tunajifua kitaifa kwanza. Nakumbuka random trip to Nairobi 1997, picha linaanza mzungu kalizwa na mwanamke wa Kikenya club. Yuko nje analia katuma hela sana akutane na mwanamke, kamfuata mwanamke Kenya, mwanamke hajatokea.

Na hii ni kwa sababu ya kihistoria, Kenya imeukumbatia ubepari tangu uhuru, haikupitia Ujamaa. Katika ubepari, ni rahisi zaidi kufanya mapenzi ya pesa. Ujamaa wetu ulitufunza kuwa "utu wa mtu ni kazi, pesa ni matokeo".

Ukitaka kujua Wakenya wanawazimia Watanzania, nenda Kenya halafu angalia wanawake kwa wanaume wa Kenya wanavyowapapatikia Watanzania. Kenya mwanamme wa Tanzania anaweza kupata mwanamke kirahisi sana. Sasa, ingekuwa Watanzania tuna mapenzi fake zaidi yao, kwa nini wanatupenda hivyo?

Kwa hivyo, kwa point hiyo tu naona hiyo Mkenya ni muongo na alikuwa na nia ya kuwasema vibaya tu Watanzania.
 
We were having dinner kwa amani and nikashangaa tunaanza kuandamwa from no where. But sikusema mengi, nilikua namwangalia alivyo na chuki kwetu.


Kweli Ila hauna Emotions intelligence you know nothing on how to deals with negative people

That is way nimesema wewe na wakenya nyote mpo na Ego .

Maana Ego is self identity ndo pale MTU akiongea vibaya kuhusu kabila lako, dini ,nchi, au jinsia yako you get pain and being heart fainted.

Endeleeni kukua hizo argument hufanywa na low minded people , with low EQ .
 
Hata kama uchukie ukweli umeambia.

Shikamoo dada, na habari za siku
 
Sawa
 
Alinishangaza sana aise.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…