Najipa likizo mi bossy wakupost

Najipa likizo mi bossy wakupost

Kama umechagua masomo umefanya jambo jema sana.

Nakutakia ufaulu mwema.
Jamani napumzika kisa nimekuwa naandika post kama nimeajiriwa humu na comment kama na pewa posho shule yenyewe masomo magumu.
So najipa break nisome kwanza shule ningumu kudeal nayo na nimechagua?JF
Kuisitisha kwanza Ngoja nijipe hewa.
Baadae.
 
Back
Top Bottom