Najipa kazi ya kua mtumbua jipu!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Kama sijaelewa bado!
Majipu yetu ni kina nani hao? Madaktari wanaopokeo laki 1? Manesi wanaouza gloves za Mia tano? Walimu wanaokula buku buku za madenti? Makontena Bandarini? Mita za mafuta? Takukuru?

Vipi kuhusu wanasiasa wakuuubwa? Utumbuaji majipu binafsi nilifikiri utaitikisa nchi lakini mbona kama kumepooza hivi? Au majipu yameisha?


Nasikia kuna madalali wa miradi ya nchi yetu vipi nao sio majipu?
 
Tumbua wana siasa kama nchi hii haijawaka moto....gusa uone....unachezaa nn wewe..
 
Back
Top Bottom