MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Najiuliza na nashindwa kuelewa hii kauli ya Mh Rais ilikua na dhamira gani hasa kwa watanzania? Mbona ilikua ni kama kauli ambayo iliyokua imejawa na ujasiri wa hali ya juu lakini si kwa uwezo wake yeye bali pia ilihitaji nguvu ya Mungu zaidi! Lakini kwa sasa ni kama kauli hii inahujumiwa maana kuna mambo yanayoendelea nchini tofauti na dhamira ya kauli hiyo?
Kwakweli kupitia figisu figisu za Uchaguzi wa kumpata mstahiki Meya wa jiji la DSM binafsi sidhani kama naweza kuomba Mungu kwa ajili ya majipu kutumbuliwa, Ni zaidi yaiezi 3 sasa uchaguzi unazingushwa uongozi wa kitaifa wa serikali upo, Waziri wa TAMISEMI yupo, tunacheza na maisha ya watanzania kwa sababu ya uroho wa madaraka wa watu wachache bila sababu.
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali, jambo dogo kama hili linashindwa kushughulikiwa kiasi hichi Je, mgogoro mkubwa wa kisiasa unaofukuta kule Zanzibar utamalizwaje? Inatia Shaka sana tena bado serikali ya awamu ya tano bado ni changa sana sasa tunaanza kukata tamaa mapema kufikia tulipofikiria.
Siwezi kwenda msikitini au kanisani kamwe kuomba kumwombea anayenionea ili aendelee kunionea! Sidhani kama Mungu anaweza kusililiza Maombi kama haya, haya mambo yanaeleweka kua ni ya hovyo hovyo yanafanywa kwa makusudi kiasi ambapo ni dhambi kubwa leo nijitoe ufahamu niende kanisani kuomba yaendee? hapana,hapana,hapana kabisa.
Kuna Mjamaa moja aliwahi kumpiga na chupa ya maji waziri mkuu msataafu lakini vyombo vya dola havikufaya lolote vikakaa kimya na ushahidi ulikua wazi kabisa, zaidi huyo bwana akapewa cheo serikalini bada ya huchukuliwa hatau.
Leo wabunge wa Chadema wanakamtwa kisa tu ofisa wa serikali amedhalilishwa! Kwani mzee Warioba hakudhalilishwa? Mbona aliyemdhalilisha Wariba hakukamatwa wala kuhojiwa? Fairness iko wapi hapa serikalini?
Sitathubutu kumwomba Mungu ili uonevu uendelee, Kwanini ukweli usiwekwe wazi kua majipu kutumbuliwa ni kama hakuendani na uhalisia? Ni bora kumuomba Mungu huku haki inapokwa wazi wazi! Kupoka haki ya mtu si dhambi ni nini? Kopoka haki ya mtu sio jipu lenyewe ni nini?Namshirikishaje Mungu hapa?
Binafsi hili nimelikataa kabisa sualala kumshirikisha Mungu mahali ambapo hakuna haki zaidi Mimi nitaomba Mungu anipe ujasiri wa kupambana na haya. Sijui ninyi wadau.