Najiona mjinga sana

tunu pekee ambayo mwenyezi mungu ametujaalia ni nguvu ya ushawishi kwenu KE ..kwa hiyo usijilaumu sana ni nguvu ya asili tuliyonayo...na ujinga ni sehemu ya maisha yenu wanawake....kwa hiyo imeplay your part...
 
Wala ata ucjione zunte rafk angu Kama ulibakwa Apo sawa ila Kama uli enjoy mbona fresh tu hehehe maisha yaendeleee we umekulwa mala 3 unajiona mjinga je ungejikuta na HIV je ??? Tafakari chukua hatua

LOVE ABOVE ALL
 
Ili roho yako Iwe sawa inabid umtafute tena naww umle Mara tatu hapo ngoma droo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sijui utamlaje kaz kwako
 
Yaani umeliwa isee kama marinda yakp salama usijali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mjinga tu,yaani we ni boya kabisaaa,utajirahisishaje hivyo,kakuona ndio wale wale kama wa corner bar
 
Sister hapo hukuwahi kumpenda ila na ww ulikuwa umemtamani tu na ndo maana ilikuwa rahisi tu kucheza ka mchezo zaid ya mara mbili tena ndani ya mwezi mmoja .. Aisee unabalaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…