mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Habari wana Jf,
Napata taabu sana inapofikia muda wa kufanya zoezi la usafi kunyoa makwapani na sehemu za siri napata muwasho sana. Nimejaribu kutumia aina tofauti za nyembe.
Mashine za kunyolea hata shaving cream nimeshatumia, ila matokeo ni hayo ya muwasho mkali na kujikuna. Nikiona nywele zimeota tu naanza kuwaza jinsi ntakavyoteseka mara baada ya kuziondoa.
Na katika hali ya kawaida siwezi kuvumilia kukaa na manywele bila kuondoa maana ni chanzo cha uchafu nsaidieni kama ipo njia nyingine salama zaidi