NAJIHISI SINA FURAHA KWA UJUMLA

NAJIHISI SINA FURAHA KWA UJUMLA

Challenges are always there to strengthen our convictions.

Na changamoto zinaeza kua ni Juu ya Afya, kijamii, uchumi na siasa . Lkn pia inaweza kua kiakili hujatulia.

Sasa Lazima ufaham, Furaha ndio kitu pekee mwanadam anachokitaka, ukiona unatafuta hela, au mpenzi au elimu hii yote ni kwaajil ya Furaha.

Kaa ufupi sio Tajir wala Masikin hawa wote mpaka wanakufa Furaha ndio hitaji lao kamili.

Sasa kwann hauna furah??
[emoji117]Yawezekana kabisa umekataliwa na Mpenzi ,ndugu, jamii
[emoji117]INAWEZEKANA KABISA ULIJIWEKEA DEAD LINE KUA UKIFIKA MIAKA 29 UTAKUA NA NYUMBA GAR PESA NA MAISHA MAZURI. lkn sasa unamiaka zaidi ya 29 nahauna ivo.
[emoji117]Inawezekana kabisa, Umesoma lkn umekoswa kazi kiasi kwamba elimu yako huion sio inshu.
[emoji117]Inawezekana kabisa umepitia mahal pabaya hata unakoswa raha nauhakika wa Afya yako.
[emoji117]Inawezekana kabisa Maisha ulikua nayo ila mambo yebadilika, mke kakukimbia n.k kiasi kwamba hupendwi.


SASA NN UFANYE ??? .
[emoji117][emoji117][emoji117]JISOGEZE KWA MUNGU WAKO, NAKUHAKIKISHIA HILI JAMBO,, ni mwanadam pekee asokua karibu na Mungu ndio anakuaga na maisha ya ovyo. Mawazo, mashart, utumwa nakila aina ya baya ..... Mungu anasema, UMECHOSHWA NA MZIGO WAKO???? TUA, UMPE YEYE...mpe Mungu mzigo wako ili akufanyie haya
[emoji117]Akupe Furaha ya uhakika nakudumu ,furaha ambayo ITATOKA MOYON NA NDANI YAKO ,WALA SIO FURAHA YA NJE.

ATAKUPA MOYO MGUMU WA KUISHI SAWASAWA NA CHANAMOTO ZA DUNIA YAKO NAWAKAT HUOHUO MOYON MWAKO NA AKILI KUNA FURAHA ISOBADILIKA.
 
Huna furaha kiuchumi, mapenzi au nini
 
Furaha hailetwi na mtu wala kitu ni ww mwenyewe jifurahishe,kubaliana na Hali,samehe
 
Kesho asubuhi nakuhitaji kwenye interview ya Chato tv![emoji41][emoji41][emoji41]
 
ni hali ya kawaida kwa hii awamu, vumilia tu
 
Back
Top Bottom