Najihisi mjinga kukosa chuo

Naomba ni kusahihishe apo mkuu sio kweli kwamba uki fail bam ndo hupati chuo nina mshikaji wangu ana CBG-DDC ila bam ana F kapata SUA forest
Kwani kwenda kuwa mchanja kuni nako kunahitaji knowledge ya "mathematikisi?"
 
Akili ipi anayotakiwa kuitumia ikiwa akili aliyoitumia mwanzo imemuangusha?.
 
Unanikumbusha mwaka jana one yangu ya tisa PCB nikabaki mtaani... Dahh!!!
 

[emoji3]nime kuja kushtuka orbital zote zime kuwa full occupeid tuta zifanyia excitation mwakani
 
🧐ina wezekana lakini
Mzumbe Mbeya campus ina uhitaji wa wanafunzi, ukienda kuomba chuoni kuonana na admins wanakuregister, rucu iringa pia, saut songea pia, stella Marris huko kusini hivo hivo, nenda chuoni pale watakupa nafasi labda useme hela hakuna tukuchangie vyuo vipo aisee
 
Braza tatizo mwaka huu pcb wamefaulu sana ... Na kwa huu utaratibu wao wa kuapply imeleta competition kubwa sana kwa hawa vijana wetu wa cbg maana watu wameachwa mpaka kwenye zile kozi za kawaida kabisa kama education....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…