Najihisi mjinga kukosa chuo

Kama na ufaulu wake wa o-level ulikuwa wa kawaida, kote ni shida kwakweli. lakini itategemeana na focus zake, kama ni afya ushindani uko juu sana hata diploma, vijana wengi wamekosa

Kweli kabsa jamaa zangu piah wame kosa dp za afya
 
Kama na ufaulu wake wa o-level ulikuwa wa kawaida, kote ni shida kwakweli. lakini itategemeana na focus zake, kama ni afya ushindani uko juu sana hata diploma, vijana wengi wamekosa
Nina uhakika hiyo CBG aliifaulu kwa kiwangi kisichopungua daraja 'C' O-level, hivyo anaweza kupata nafasi ya kusoma diploma ya afya la sivyo akasome diploma ya ualimu miaka 2 akimaliza akasome ualimu ngazi ya shahada. Kwa hayo masomo ya sayansi bado anasoko la ajira mbeleni.
 
Kaa tuliza akili, kila mtu ana mapito yake, jipange kwa mwaka unaofuata wakati ukiendelea kupata elimu ya mtaani, changamoto na furusa zilizopo, usiwaze sana wew si wakwanza, wengne walikaa zaidi ya miaka5 lakini walisimama tena.

Thanks much mkuu
 
[emoji1317]
 
Ushindani n mkubwa mkuu ila kama unataka tu kwenda chuo usiombe koz ambazo unajua zna ushndan mkbwa na vyuo vikubwa...kna mdogo angu ana ufaulu kama huo nae kasoma cbg kaomba mipango dodoma kachagliwa
 
tatizo hilo mkuu tatizo kubwa bora unge ikomalia hata E mkuu S sio principal pass aseeeee E ndo last principal pass , ,, umekosa kwa kigezo cha BAM sure i tell you DDE nao wafaham mm wengi wamepata
 
Nime kuja kushtuka washaa ni pigaa tayari ngoja ni subiri mwakani nta omba cozi za arts tu
 
tatizo hilo mkuu tatizo kubwa bora unge ikomalia hata E mkuu S sio principal pass aseeeee E ndo last principal pass , ,, umekosa kwa kigezo cha BAM sure i tell you DDE nao wafaham mm wengi wamepata

Ata mi na ona mkuu
 
wory out mkuu nta sambaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…