Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile hata anifanyie nini
Jikubali..hakuna mtu mbaya...jipende kwanza mwenyewe🥰Maisha ni magumu sana ndugu zangu..
Binafsi nina roho nzuri sana ila nina outluk expression mbaya..kuanzia muonekano hata uvaaji na mbaya zaid ni sauti.
Naweza ongea kitu kwa nia nzir tuu ila tone ya sauti iikaishia kuharibu kila kitu niashindwa kueleweka na kuacha sintofaham kwa waslkilizaji
Sasa hivyo ndiyo una roho mbaya?Huna roho mbaya hata kidogo.Wewe unapenda uhalisia tu.Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile hata anifanyie nini.
Yah nilijifunza kujikubali na kuendelea na mambo mengine sema ndio ile kuji mix inakua ngumu sana maana hukawii kuwa bore watu...Jikubali..hakuna mtu mbaya...jipende kwanza mwenyewe🥰
UlijuajeNdio watu wa kiroka mna asili hii..roho mbaya to the maximum..sikushangai
Kwahiyo ukiongea Ni kana kwamba unafoka au.Maisha ni magumu sana ndugu zangu..
Binafsi nina roho nzuri sana ila nina outluk expression mbaya..kuanzia muonekano hata uvaaji na mbaya zaid ni sauti.
Naweza ongea kitu kwa nia nzir tuu ila tone ya sauti iikaishia kuharibu kila kitu niashindwa kueleweka na kuacha sintofaham kwa waslkilizaji
Achana nao njoo uwe mshikaji wangu.Maisha ni magumu sana ndugu zangu..
Binafsi nina roho nzuri sana ila nina outluk expression mbaya..kuanzia muonekano hata uvaaji na mbaya zaid ni sauti.
Naweza ongea kitu kwa nia nzir tuu ila tone ya sauti iikaishia kuharibu kila kitu niashindwa kueleweka na kuacha sintofaham kwa waslkilizaji
On my wayAchana nao njoo uwe mshikaji wangu.
Hapana ila it cms naongea kila kitu kwa msisitizo regardless ni utani.Kwahiyo ukiongea Ni kana kwamba unafoka au.
Karibu sanaOn my way
Mkuu Mimi ni mtu mmoja mwenye huruma sana,, kuna muda hadi mama na baba huniambia sipaswi kuwa hivyo, huruma ikizidi inakuwa sio kitu kizuri sababu huwa najikuta ninajali sana, mtu akinikwaza hata kama Nina haki ya kumpa adhabu najikuta nimeshindwa tu sababu nikiwaza baada ya kumuadhibu ntajikuta naumia sana na kujutia..Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile hata anifanyie nini.
Kwa mfano nilikua na girlfriend tulikua na mipango mingi lkn siku moja tulizinguana kwenye cm akampa simu mwanaume
Nop a real man safi wewe ni rafikiMaisha ni magumu sana ndugu zangu..