Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 567
Wee jamaa una hatari. Nasema hatariiii. Unataka ku rest in peace sasa. Wote walionana na marehemu wali RIP! Shauri yako.
Mkuu utanishtua nikujoin kumpokea GAVANA wetu.
Mkuu siyo uoga, nilitaka kukuhakikishia kuwa jamaa yupo, ila wale waliobahatika kukutana nae walirest in peace!Watanzania kwa woga tu hamjambo,Edo ndo aliahidi kumtuletea Gavana wetu mpendwa Balali,pindi tu CCM itakapolikata jina lake kama mgombea urais,so tunasubiri Edo atuambia lini atamleta gavana wetu kutoka huko mafichoni then tujiandae kumpokea,karibu hata wewe ,nina maswali yangu
Mkuu siyo uoga, nilitaka kukuhakikishia kuwa jamaa yupo, ila wale waliobahatika kukutana nae walirest in peace!
Mkuu siyo uoga, nilitaka kukuhakikishia kuwa jamaa yupo, ila wale waliobahatika kukutana nae walirest in peace!
Hii siyo ya kukosa,yatakuwa mapokezi makubwaMiye simo hapo jamani
Namshauri Lowasa as a brother,kama anataka kuendelea kuishi anyamaze kimya aendelee na biashara zake.Hawa jamaa sio watu wazuzi,they can do anything for power,watamuua!
Natania mkuu, usini quote!Tena wewe upo danger zone,unanihakimishia kabisa Balali yupo live?
Hii siyo ya kukosa,yatakuwa mapokezi makubwa
hakika mchakato huu utawatengenezea uadui mkubwa viongozi wakubwa wa CCM (MA'CCM) wataumbuana sana baada ya hili:A S-fire1::A S-fire1:
Lete ushahidi
Me sijawahi kukutana nae Balali,bt Lowasa yeye alituambia anajua Balali alipo,na kwamba akikatwa jina CCM atamleta Bongo