Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 567
Yes najiandaa,kwani Lowassa aliahidi kwamba siku CCM itakapothubutu kumwengua na kulikata jina lake kama mtia nia wa urais wa CCM kwa namna yeyote basi yeye atamleta Daudi Balali,mtu muhimu na shahidi mahususi kwenye scandal kubwa ya ufisadi wa EPA,mtu aliyetoweka kama upepo huku Watanzania wakiwa na maswali mengi ya kumwuliza,mtu alishikwa na maradhi ya tumbo ya gafla na hatimaye umauti.
Tayari Lowassa ameunguliwa kwenye kinyang'anyiro cha urais CCM,sasa watanzania wanasubiri kuona kama atatimiza ahadi yake ya kumleta Balali Bongo,mtu tuliyeaminishwa amekufa na tukaoneshwa na Meena mpaka kabuli lake kutoka huko Gate of Heaven Marekani.
Je ataendelea kuwa kimya kama alivyokuwa kimya kwenye issue za Richmond ama atathubutu?
"Hata Kisu kina Kata but hakina Diwani"