Najiandaa kumpokea Balali

Status
Not open for further replies.
coming october ballali atapokelewa airport kwa uwazi na ataongea na waandishi wa habari ...

tuacheni upumbavu humu, balali alishakufa siku nyingi. Hivi nyie watanzania ndio mnajifanya mna itelijensia kubwa kwenye nchi ya watu kuliko wamarekani wenyewe?
 
Hakna mwenye uhakika kuhusu baral..nakama alikufa iweje azikwe huko je? hakuwa mtz,je? tz hakkuwa na ardhi.TAFAKALI
 
Ntashukuru akimrejesha ndugu yangu. Iweje yeye tu kati ya viongozi wote wakubwa wafie huko ughaibuni na wanarejeshwa, afu kifo na mazishi yake utata mtupu. Hata picha tu ya balali aliyekufa isiwepo!!!!!. Yaani wauza unga wanaofia nje kama mangwea arejeshwe afu gavana ishindikane. lipo jambo. Mbona ndugu zake hakuwahi kusema yeye alidilare kuzikwa huko?????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom