Hata kifo cha Mwalimu si muda mrefu watatueleza, tuwe na subira.hakika mchakato huu utawatengenezea uadui mkubwa viongozi wakubwa wa CCM (MA'CCM) wataumbuana sana baada ya hili:A S-fire1::A S-fire1:
Hata kifo cha Mwalimu si muda mrefu watatueleza, tuwe na subira.hakika mchakato huu utawatengenezea uadui mkubwa viongozi wakubwa wa CCM (MA'CCM) wataumbuana sana baada ya hili:A S-fire1::A S-fire1:
Miujiza ya namna hiyo tumezoea kuisikia ikitokea mikoa ya shinyanga,simiyu,geita
Inawezekana alipoenda kwa tb Joshua alimfunulia maono
Kwa mwanamalundi,kwa El atatuonesha hayo maajabu
Yes najiandaa,kwani Lowassa aliahidi kwamba siku CCM itakapothubutu kumwengua na kulikata jina lake kama mtia nia wa urais wa CCM kwa namna yeyote basi yeye atamleta Daudi Balali,mtu muhimu na shahidi mahususi kwenye scandal kubwa ya ufisadi wa EPA,mtu aliyetoweka kama upepo huku Watanzania wakiwa na maswali mengi ya kumwuliza,mtu alishikwa na maradhi ya tumbo ya gafla na hatimaye umauti.
Tayari Lowassa ameunguliwa kwenye kinyang'anyiro cha urais CCM,sasa watanzania wanasubiri kuona kama atatimiza ahadi yake ya kumleta Balali Bongo,mtu tuliyeaminishwa amekufa na tukaoneshwa na Meena mpaka kabuli lake kutoka huko Gate of Heaven Marekani.
Je ataendelea kuwa kimya kama alivyokuwa kimya kwenye issue za Richmond ama atathubutu?
"Hata Kisu kina Kata but hakina Diwani"
Nitaku-Pm mkuu ,El atakaposema anamleta lini Balali
Hizo zilikuwa siasa usije kulala mlango wazi kusubiri yasiyowezekana. Mara zote mmekuwa mkiaswa muwe mnaongeza na za kwenu kwa kila mnaloambiwa. Ona sasa......
vifaranga wa fisadi mtapata sana shida.
endeleeni kuumia.
Nimecheka sana !
Asalaam wanajamvi! wenzangu
Kama mtakumbuka kipindi Mh.EL anatafuta wadhamini mikoa mbalimbali hapa nchini ktk harakati zake za kutaka kuingia pale magogoni,kulizuka uvumi mkubwa endapo nia yake hiyo ingekatishwa na wenzake basi angefanya maamuzi magumu ya kumrudisha yule bwana mkubwa wa ile skendo ya EPA na aliyekuwa mkuu wa BOT ambaye kuna tetesi inasemekana amejificha na anakula maisha kule kwa kina Obama.
Akhsante! Naomba kuwasilisha