Najiandaa kuhama nchi kwa muda

Baada ya hiki ninachokiona, kwa kweli nimeanza process za kufunga biashara zangu na mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nimehama nchi.

Kwa kweli moyo wangu anakataaa kabisa kuendelea kukaa Tanzania, nitarudi hata kama ni baada ya miaka 20 ila kwa sasa hapana let me go.

Napanga kwenda kufanya biashara zangu either Malawi, Msumbiji au Botswana.
Halafu huna umuhimu wowote katika nchi hii.
 
Baada ya hiki ninachokiona, kwa kweli nimeanza process za kufunga biashara zangu na mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nimehama nchi.

Kwa kweli moyo wangu anakataaa kabisa kuendelea kukaa Tanzania, nitarudi hata kama ni baada ya miaka 20 ila kwa sasa hapana let me go.

Napanga kwenda kufanya biashara zangu either Malawi, Msumbiji au Botswana.
Kama una kashamba naomba tuwasiliane nikanunue, maana naona unanda kula kuku kwa mrija kwa Magu oops TRUMP.
 
Baada ya hiki ninachokiona, kwa kweli nimeanza process za kufunga biashara zangu na mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nimehama nchi.

Kwa kweli moyo wangu anakataaa kabisa kuendelea kukaa Tanzania, nitarudi hata kama ni baada ya miaka 20 ila kwa sasa hapana let me go.

Napanga kwenda kufanya biashara zangu either Malawi, Msumbiji au Botswana.
Mimi napeleka biashara Msumbiji, ni mahali ambapo tayari nilianza muda kidogo kuwekeza. Lakini mimi mwenyewe nabaki hapa hapa. Hatuwezi kuwaachia waovu nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya hiki ninachokiona, kwa kweli nimeanza process za kufunga biashara zangu na mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nimehama nchi.

Kwa kweli moyo wangu anakataaa kabisa kuendelea kukaa Tanzania, nitarudi hata kama ni baada ya miaka 20 ila kwa sasa hapana let me go.

Napanga kwenda kufanya biashara zangu either Malawi, Msumbiji au Botswana.
Sawa mkuu ila tunakuomba usirudi tu nchini....tunataka wafanya biashara wa ukweli si wababaishaji wasiolipa kodi. Unafikiri huko uendako hawalipi kodi, we nenda tu na usirudi huku.
 
Back
Top Bottom