Najiandaa kuhama nchi kwa muda

Huna ubavu wa kuondoka tanzania, tunakutegemea kwenye maandamano na tutakuweka mbele kabisa ili kuongoza majeshi ya chadema
Bwana Mbaga, unajua kitu kilichokua kinaitwa Mbiru? Kama wewe ni kijana unaweza usijue hiyo Resistance ya Wapare dhidi ya Wajerumani. Hebu jaribu kuuliza wazee wa zamani wa Pare. Mass Resistance hiyo ilitokea mwaka 1917. Ndicho kitu pekee cha Wapare kupinga ukoloni. Katika Thesis yangu ya Masters niliandika hicho kitu. Mmoja wa sorce wangu ni mzee mmoja alikuwa anaitwa Mbaga. Ndio maana nikakumbuka. Hali ilikuwa kama hii na ilikuwa lazima kuandamana na kumgomea (Resist) Bwana DC hapo Bomani Same. Walikuwa wanaresist manyanyaso na kodi mbalimbali hasa kodi ya kichwa. Kuna wazee wa kipare waliokuwa sio waoga, hawapendi manyanyaso, na walikuwa mstari wa mbele kabisa. Nitakusimulia zaidi siku nyingine tukionana. Wapare ni wajasiri sana.
 
😂😂😂 Mkuu nmekuelewa sana, ila kwa unavoona ww kuna mtanzania yeyote wa kuandamana.? halafu kwann tuandamane wakat tumepata tulichokuwa tunakitafuta.?
 
Sasa makamanda mnasepa wakati mlikubaliana mtaingia lodi?
au mtaandamana tu kimoyoni moyoni kama zamani?
Hakuna wa kuandamana hapa, wahusika wenyewe wapo makwao sa hv na maisha yao afu mpumbavu mmoja ety akaandamane aisee ntamshangaa sana
 
Kama watu wangekuwa wanazaliwa kwa kuchagua nchi, Afrika ingebaki na miti tu.

Waafrika ni watu waliopitia historia ngumu sana katika historia ya dunia kuanzia utumwa, ukoloni na sasa udikteta wa marais weusi.

It is so depressing kuona wananchi wanageuzwa kuwa watumwa kwenye nchi yao wenyewe tena na wenzao hao hao.

Labda ni laana kwa kweli maana sifikirii kama kuna lingine.

So sad mkuu
 
Bora kuhama ukakae na dikteta mzoefu kuliko dikteta uchwara ambae ndio anaanza kujifunza udikteta kamili coz ataua,atawasweka gerezani ,atafanya unyang'anyi wa kutisha ilimradi mumuogope ili alitaka kuibadilisha katiba 2024-25 kusiwepo na wa kufungua mdomo.
 
Baada ya hiki ninachokiona, kwa kweli nimeanza process za kufunga biashara zangu na mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nimehama nchi.

Kwa kweli moyo wangu anakataaa kabisa kuendelea kukaa Tanzania, nitarudi hata kama ni baada ya miaka 20 ila kwa sasa hapana let me go.

Napanga kwenda kufanya biashara zangu either Malawi, Msumbiji au Botswana.
Niandalie njia ntakukuta huko. Tumevamiwa na magaidi wameshika nchi
 
Kila la Kheri Mkuu, kuwa Mtanzania ni kama KULAANIWA kwa kweli, unaowategemea wakutetee ndio wanakuua na kukudhalilisha kisa unadai haki zako. Andaa makao huko wengi "tutakufuata". Hakuna raha tena ya kukaa nchi hii kiukweli. Watu hatupendani tena kama ilivyo jadi yetu kama Watanzania, chuki ambayo imetengenezwa miongoni mwetu itakuja kuonekana siku za mbeleni huko Mungu atusaidie na atutie nguvu wale wote tulioumizwa
Bora kuzaliwa ngedere Newyork kuliko kuwa mtanzania.
 
Back
Top Bottom