Wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake ambao ni too independent. Kwa uwezo ulionao wewe labda uoe sharobaro. Yaani wanaume wengi wanaona sawa kama mwanamke utapata mafanikio ya juu ukiwa tayari ni mkewe, lakini kukuoa ukiwa na kila kitu sijuhi kwa nini wengi hawana hiyo confidence; hata kama nao pesa ipo wanataka mwanamke wa kawaida kifedha. May be wanakuwa hawaoni femininity kwa mwanamke mwenye uwezo.
Na kosa kubwa la wadada walio na uwezo ni kusimulia. Yaani unapata jamaa wewe unaanza kubwabwaja "niliponunua BMW X5 nikasema sasa nijenge" kumbe ndio unaharibu kabisa. Bora ukae kimya akijashtuka kuwa wewe mambo safi too late kesha fall.
Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.
I live in Dar with a house girl n security guards only. I have such a free life that I can even hang out with friends for some days outside Dar. Sina boyfriend, but have hooked n dating some cute guys out there.
I have a dream of getting marriage somedays ahead but I dont see anyone among my close dudes as ideal though aint desperate. I party out a lot sana n I work a lot too.
Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .
Ki ukweli naishi kama hivi am a Christian n i also pray to God to fix wats i LACK IN MY LIFE OR CHANGE THE WAY I ARE. Sijielewi nataka au sitaki nini kwenye lifestyle of mine regardless of my age.
I CARE 4 my family n friends as well. I am very easy person to get along with n I am such a lady who jokes a lot n down to earth.
Hebu nisaidieni wana JF hivi kuna mtu mwingne yupo kama mimi au me ndo maisha yashanshinda? Na je what can i do?
Samahanini kwa kuchanganya lugha.
Hebu ni pm kunajambo moja nataka kushea nawewe tu plz!!
- lovebyte japokuwa hujasema umesomea wapi au umekulia wapi mie nafahamu wewe umekuwa affected na western cultural (nadhani umesomea usa,uk ,nk.......hiyo ndiyo inayokuathiri kiakiri sana
- maisha ya watu wa western na bongo ni tofauti sana hivyo nakushauri anza kutafuta maisha ya familia mara moja
- utakwendaa hivyo mwisho wa siku utaanza kutamani maisha ya watu wanaokuzunguka kwa most of tzs wanaishi maisha ya familia zaidi
hee mswahili balaa huyo tayari used alaf mtu mwingine unakomaa aku pm acha ujinga wewe kama alikuwa na shida ya private si angekupm kuliko kuleta thread ijadiliwe.vua hilo gamba la uzinzi although utabakia mzinzi.
pili nashangaa mtu anauliza umepata faida gani,wakati mdada keshajieleza anamiliki gari,nyumba,guards na housegirl,na starehe kwa sana huoni kwamba ndo faida yenyewe na kumalizia faida nzuri na ya maana ni hiv aids ambayo itasababisha tumzike na kilo mbili.
mwingine kakusifu umesomea western, acha habari hizo umalaya hauna western wala eastern,wewe mama endelea tuu kutuhudumia sisi wazinzi ambao tumeoa na tunapenda watu wa style yako.
namshukuru yule aliyenisapot kwenye age ya kuolewa,ukweli ni kwamba ww sahivi ni bikizee ukiangalia life expectancy imeshuka sana kwa nchi ya dunia ya tatu.wewe ukiangalia umri wako jumlisha na mihuri unayopigwa lazima utakuwa umechoka tuu.jaribu kuvuta picha ulipoanza mapenzi raha uliyokuwa ukipata enzi hizo shimo likiwa tight na sahivi lishalegea raha ipoje.so ujue ata utayeona anafaa kuwa mume wako hataweza kubesatisfied with that na usiombe furniture yake iwe ya size ndogo itabid aende buguruni kuomba dawa ya kuongeza unene na uref wa furniture.
how many kids do you have, or if you dont have any,what is your plan as far as kids are concerned......Faida nlopata na kurelax na full kujiachia cnaga stress wala cjui ikoje, nimefanya professional networking nyingi sana plus marafili with different affiliations? Nimelearn xtra skills in life thru this kind of life. Those that I own nimenunua kwa pesa yangu wala c mkopo wa bank au kwa mtu. As i said I work a lot sana na i like my job plus insipiring others to work hard tooo. Need I say mo???
Hi, mie ni msichana wa miaka 30,
Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .
Bishanga:
Sasa kama watu wa 80s unasema wamepitwa na wakati, kwa hiyo sisi tuliozaliwa 70's ndio kusema_____________________??
heheeh mkuu usipotee sana bana! si unaona hii post yako moja tu imetosha kabisa kumpatia lovebyte ushauri anaohitaji. Infakti mimi nadhani hapo alipofika ni beyond repair, lakini lawyer wake Uporoto soon atakuja kufafanua zaidi.