Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,848 2,635 Jun 2, 2017 #5 Pole sana jaribu kesho tena picha zinaweza zikawa zimelala.
Password JF-Expert Member Feb 17, 2011 777 1,083 Jun 2, 2017 Thread starter #7 Mnielekeze basi nataka kuandika nyuzi zitakazo hitaji picha ila kuweka picha siwezi,please help
Eng Kahigwa JF-Expert Member Feb 18, 2014 783 631 Jun 2, 2017 #8 Hebu jaribu kuweka picha ya kwenye avatar yako .... maana hiyo uliyoiweka ina virus.