Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
We si ------ kazi ya nini si ukae nyumbani?
Ni mm au na wenzangu???nimeapply kazi ya records management ngazi ya diploma katika mitandaowanayotangaza kazi zaidi ya mara 20 lakini siitwi hata kwenyeinterview moja ,,najiuliza sina vigezo au ni nini haswa mana ninatuma kazi nikiwa na vielelezo vyote vyakua na sifa ya kuipata lakini sipati mweeee
Labda kwa sababu ya jina lako

Ni hiyo avatari yako inaonesha umeacha kunyonya muda si mrefu hayo mapengo duuhhh, sasa akikaa nyumbani atamnyonyesha nani na wewe umeachishwa ziwa la mama?
Khoooo, kumbe ulikuwa hupeleki picha? wenzio wanachagua sura bhana....Usibanemweee jina lang tamu ivo labda nipelek na picha ndo ntapata
Sema majibu ya Kidato cha 4 ya 240,000Jina kama majibu ya interview....utapataje kazi?
Khoooo, kumbe ulikuwa hupeleki picha? wenzio wanachagua sura bhana....Usibane
Hata ningekuwa mie ndo naajiri bila picha ningekuweka benchi, hujatimiza vigezo.....Peleka picha Mama weeee wapi bhana?itabid nipeleke bas mana kwa picha ntapata haha
Hata ningekuwa mie ndo naajiri bila picha ningekuweka benchi, hujatimiza vigezo.....Peleka picha Mama weeee wapi bhana?
shauri yako, we cheka tu....mwenzio aliombwa uroda na Human Resource Manager wakati anatafuta kazi, si akakimbiliaaeuwiii mbavu zang mie