Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 #1 Habari wakuu, Nimejiunga na JamiiForums leo tarehe 27/11/2023. Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa.
Active Content Quality Controller Staff member Jan 30, 2008 647 971 Nov 27, 2023 #2 Karibu sana Jukwaani.
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #4 Active said: Karibu sana Jukwaani. Click to expand... Asante sana mkuu
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Mar 3, 2023 17,010 52,652 Nov 27, 2023 #5 Usije ukaweka picha yako hapa Nyafwili watakubeza na kukucheka. Karibu.
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #6 shadrackAmri said: jitambulishe unaishiwapi picha yako weka tukuone ili tuweze kukupokea mkuu Click to expand... 😀😀😀, nimeangalia threads kadhaa lakini sijaona members wanatuma pictures za utambulisho.
shadrackAmri said: jitambulishe unaishiwapi picha yako weka tukuone ili tuweze kukupokea mkuu Click to expand... 😀😀😀, nimeangalia threads kadhaa lakini sijaona members wanatuma pictures za utambulisho.
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #7 Shivo32 said: Karbu Click to expand... Asante sana mkuu,
monopoly inc JF-Expert Member Dec 20, 2016 5,265 11,308 Nov 27, 2023 #8 mshamba_hachekwi said: Usije ukaweka picha yako hapa Nyafwili watakubeza na kukucheka. Karibu. Click to expand... Mshamba hachekwi
mshamba_hachekwi said: Usije ukaweka picha yako hapa Nyafwili watakubeza na kukucheka. Karibu. Click to expand... Mshamba hachekwi
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #9 shadrackAmri said: mimi ndio kilanja mkuu humu wekapicha yako chap tukuone mwenzetu Click to expand... Kesho nitatuma picha nikipiga studio, Maana simu yangu camera ni mbovu,
shadrackAmri said: mimi ndio kilanja mkuu humu wekapicha yako chap tukuone mwenzetu Click to expand... Kesho nitatuma picha nikipiga studio, Maana simu yangu camera ni mbovu,
Lemme say this JF-Expert Member Nov 4, 2023 397 1,064 Nov 27, 2023 #10 Karibu mkuu hii ndio jamiiforums kuna kila aina ya watu, mada na tabia unazozijua ww ila angalia usipigwe ban tu
Karibu mkuu hii ndio jamiiforums kuna kila aina ya watu, mada na tabia unazozijua ww ila angalia usipigwe ban tu
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Mar 11, 2022 2,572 6,339 Nov 27, 2023 #11 Nyafwili said: Habari wakuu, Nimejiunga na JamiiForums leo tarehe 27/11/2023. Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa. Click to expand... Mambo vipi Nyafwili wewe ni ke au me ? Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nyafwili said: Habari wakuu, Nimejiunga na JamiiForums leo tarehe 27/11/2023. Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa. Click to expand... Mambo vipi Nyafwili wewe ni ke au me ? Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 49,393 104,537 Nov 27, 2023 #12 Kama ni dada tutakupokea
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #13 SAN JEN KARIZ said: Karibu mkuu hii ndio jamiiforums kuna kila aina ya watu, mada na tabia unazozijua ww ila angalia usipigwe ban tu Click to expand... Shukran mkuu, noted, jamii Forum kwa sasa ipo trend sana...
SAN JEN KARIZ said: Karibu mkuu hii ndio jamiiforums kuna kila aina ya watu, mada na tabia unazozijua ww ila angalia usipigwe ban tu Click to expand... Shukran mkuu, noted, jamii Forum kwa sasa ipo trend sana...
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #14 SAN JEN KARIZ said: Karibu mkuu hii ndio jamiiforums kuna kila aina ya watu, mada na tabia unazozijua ww ila angalia usipigwe ban tu Click to expand... 🤒🤒, Asante sana kwa kunipa taarifa, jamaa anataka kunipeleka chaka 😀😀
SAN JEN KARIZ said: Karibu mkuu hii ndio jamiiforums kuna kila aina ya watu, mada na tabia unazozijua ww ila angalia usipigwe ban tu Click to expand... 🤒🤒, Asante sana kwa kunipa taarifa, jamaa anataka kunipeleka chaka 😀😀
lukesam JF-Expert Member Feb 23, 2015 12,444 25,710 Nov 27, 2023 #15 shadrackAmri said: mimi ndio kilanja mkuu humu wekapicha yako chap tukuone mwenzetu Click to expand... Kiranja. Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
shadrackAmri said: mimi ndio kilanja mkuu humu wekapicha yako chap tukuone mwenzetu Click to expand... Kiranja. Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #17 shadrackAmri said: weekama sio leej sijui Click to expand... Hapana mkuu, Naitwa Nyafwili, ni mgeni kabisa hapa jamii Forum , ingawa nime follow JF Channel kwenye whatsapp
shadrackAmri said: weekama sio leej sijui Click to expand... Hapana mkuu, Naitwa Nyafwili, ni mgeni kabisa hapa jamii Forum , ingawa nime follow JF Channel kwenye whatsapp
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #18 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Mambo vipi Nyafwili wewe ni ke au me ? Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app Click to expand... Mimi ni Male kiongozi,
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Mambo vipi Nyafwili wewe ni ke au me ? Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app Click to expand... Mimi ni Male kiongozi,
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #19 OKW BOBAN SUNZU said: Kama ni dada tutakupokea Click to expand... Mkuu, Wanaume Hatuluhusiwi kupokelewa hapa jf,
OKW BOBAN SUNZU said: Kama ni dada tutakupokea Click to expand... Mkuu, Wanaume Hatuluhusiwi kupokelewa hapa jf,
Nyafwili JF-Expert Member Nov 27, 2023 2,822 7,023 Nov 27, 2023 Thread starter #20 Papaa Gx said: Jinsia yako? Click to expand... Mi ni Dume kiongozi,