Naitwa Lusile!!!

Haya wote mliochangia huu uzi muanze kutuma michango yenu ya WHITE PARTY haraka iwezekanavyo, kama uko mkoa basi tuma hata buku kumi kuchangia wenzenu wa DAR maana wengi ni TIA MAJI TIA MAJI
 
Ngija mie nipite, Heri ya mwaka mpya wajamani.....
 
Haya wote mliochangia huu uzi muanze kutuma michango yenu ya WHITE PARTY haraka iwezekanavyo, kama uko mkoa basi tuma hata buku kumi kuchangia wenzenu wa DAR maana wengi ni TIA MAJI TIA MAJI

Ha ha haaaa! Yaani sasa napata shaka kuwa umejiunga kuomba na kusisitiza mchago wa WHITE PARTY ikimalizika huyooooo....Halafu uwe ushakamatika humu ndani mbona itakuwa balaa... Madame B, msaidie mgeni akusanye michango
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…