Naitaji simu used hizi

Naitaji simu used hizi

jchris

Senior Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
125
Reaction score
41
Wadau naihitaji simu hizi
Iphone 4
Iphone 42
Eperia z
Galaxy s4
Kwa yoyote mwenye nazo au kama una moja wapo ya nilizozitaja apo juu tuwasiliane tufanye biashara nicheck kwa no 0713239001
 
Wadau naihitaji simu hizi
Iphone 4
Iphone 42
Eperia z
Galaxy s4
Kwa yoyote mwenye nazo au kama una moja wapo ya nilizozitaja apo juu tuwasiliane tufanye biashara nicheck kwa no 0713239001

najua hapo kwenye iphone2 imekusudiwa iphone4s kama ni sawa iphone4s ipo inahitaji laki nne na elfu 30 very good condition kama upo serious rudi tena kwa maelezo. pia ipo galaxy3 kama mpya hii inahitaji laki siwe 5 ni simu asili kabisa.kwa kuongezea kuna iphone3gs nayo inahitaji laki mbili na elfu 50 .
 
Back
Top Bottom