Karibu nikuuzie 3G router ya VodacomMsaada wapi naweza pata Router ya 3G kwa bei nzuri kkoo! Naomba anijuze tafadhali (dukani)
Asanteni.
Dar mkuu
haya piga hii namba 0715404040 eleza shida yako.
Ndo number yako?
Nimeimeza, sitakaa niisahau
hahahaha, siyo yangu hiyo bana, hiyo namba ya mwenye duka ukipiga utaskia sauti ya kike!!