Naitaji Kupata PS2 PES 2020 (mpira mpya)

Naitaji Kupata PS2 PES 2020 (mpira mpya)

Rdj Shibo

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
81
Reaction score
53
Kama nilivyo haza hapo ninashida ya game la mpila ambalo ni la uajili uhuu wa sasa ambalo ni pes 2020 naitaji la ps2 msaada wadau
 
really pes 2020 kwa ajili ya ps2?
do you live under rock?
PS2 imekuwa discontinued kitambo sana
endelea kutafuta..................
 
Pes 2020 hata kwa ps3 tu hawajatoa. Labda subiri wajanja walifanyie manuva.
 
Back
Top Bottom