Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Naitaji king'amuzi cha DSTV au chochote nachoweza kupata channels zote za mpira, kama s1 to s10. mwenye nacho taja bei au twende PM
Mkuu, kwani ktk maduka ya DSTV vimeisha au hakujui tukuelekeze?
sio lazima kuchangia kaka
Nenda dstv mawakala kibao ufungiwe vitu vya uhakika. Sio kila kitu kununua mikononi mwa watu, vingine nux
sio lazima kuchangia kaka
Naitaji king'amuzi cha DSTV au chochote nachoweza kupata channels zote za mpira, kama s1 to s10. mwenye nacho taja bei au twende PM
sasa kwanini usiviuze kama wakina paje na munjyNitafute 0657209956 ntakupa receiver yenye kudecode channel karibia zote za Dstv na localchannels zikiwa ktk kundi la free to air
Ushindwe ni wewe tu