Nenda ilala, ukishindwa pata tafuta hapohapo ilala mtu mwaminif ambaye atakuletea toka dubai au japan pindi anapoleta mzigo wake anakuletea na wewe au kama una connection na mtu aliyepo nairobi pia unaweza jaribu pia otherwise ununue mtandaoni kupitia kampuni ya beforward japo gharama itakuwa kubwa kiasi maana si ajabu mzigo ukatumwa kwa dhl then ukifika utachajiwa import duty, vat na excise duty, sasa hapo utarajie kutoa mahela kibao!!!! why unahitaji ilo bampa je gari yako inalo ambalo halina fog lights, so unahitaj lenye fog lights???Habari wanajanvi,naitaji bampa kama hili la toyota ractis 2006 lenye bodykitView attachment 1095362View attachment 1095363
Nenda ilala, ukishindwa pata tafuta hapohapo ilala mtu mwaminif ambaye atakuletea toka dubai au japan pindi anapoleta mzigo wake anakuletea na wewe au kama una connection na mtu aliyepo nairobi pia unaweza jaribu pia otherwise ununue mtandaoni kupitia kampuni ya beforward japo gharama itakuwa kubwa kiasi maana si ajabu mzigo ukatumwa kwa dhl then ukifika utachajiwa import duty, vat na excise duty, sasa hapo utarajie kutoa mahela kibao!!!! why unahitaji ilo bampa je gari yako inalo ambalo halina fog lights, so unahitaj lenye fog lights???
Mzee umemjibu vizuri sana..hongeraNenda ilala, ukishindwa pata tafuta hapohapo ilala mtu mwaminif ambaye atakuletea toka dubai au japan pindi anapoleta mzigo wake anakuletea na wewe au kama una connection na mtu aliyepo nairobi pia unaweza jaribu pia otherwise ununue mtandaoni kupitia kampuni ya beforward japo gharama itakuwa kubwa kiasi maana si ajabu mzigo ukatumwa kwa dhl then ukifika utachajiwa import duty, vat na excise duty, sasa hapo utarajie kutoa mahela kibao!!!! why unahitaji ilo bampa je gari yako inalo ambalo halina fog lights, so unahitaj lenye fog lights???