Naitafuta gari yangu

kikoti007

Member
Aug 27, 2012
24
1
salaam wana jamii tafadhalini naitafuta gari yangu aina ya toyota harrier rangi ya silver namba T445AMS napatika kwenye namna hii 0716041044 au email kikoto007@gmail.com nimeshatoa ripoti polisi
 
demu kukutosa tu unaanza kumtangaza kaiba wewe si ulipewa mautamu ukatoa funguo mwenyewe now unaanza kumfanya binti wa watu mwizi unatia kinyaaaaaaaa na kwa taarifa yako kitu kiko south sudan kwa sasa
 
alichukua mwaname gari ilichukuliwa dar na nina imani iko dar maelezo kamili yako polisi
 
Tuwekee picha tunaweza fananisha!! Ila kwa numba tu Itakuwa ngumu, pia Anaweza kubadilisha tu kwa kuzuga!! Sasa Umemuazima gari Hata humjui anakoishi?? You are Kidding!! Au Ilikuwa Calabash unapata moja Baridi na moto?
 
Jaribu kuangalia na mfukoni,maana kunakupatwa na jambo ukatafuta kitu kumbe unacho mkonon
 
alichukua mwaname gari ilichukuliwa dar na nina imani iko dar maelezo kamili yako polisi
Kama unataka watu wakusaidie hapa JF, basi toa maelezo kamili kama hayo uliyotoa polisi. Otherswise, itakuwa vigumu sana watu kutopa msaada kwa habari ambayo inaonekana dhahiri kuwa haijakamilika
 
565099_a.jpg
hio ndio ilivyo ina tintid nyeusi kabisa
 
Huyu jamaa vp inaonekana hajui anachokitafuta humu,kwanza maelezo hayaeleweki picha yenyewe yakufoji dah watanzania bwana:eek2:
 
Ok ila naona maelezo yako ni nusu nusu!! Labda Ngoja tuende pamoja!! Toa maelezo kuwa gari nilimpa xxx anafanya kazi kampuni yyy na huwa anaishi Maeneo ya qqqqqqq na Hii gari alikuwa anatumia kutemebelea na marafiki zake xxxx na ni mtoto wa shangazi yangu, or Rafiki yangu or Mchumba mtarajiwa na pia unaweza kuweka picha yake!!!
Ila hizo picha za toyota harrier kutoka mtandaoni sijui kama sitasaidia!! Ni vizuri ukakaa na kutulia na kuanza kumwelezea Mhusika ili tuweze Kujua nyendo zake ila kwa sasa the information is too open!! Imagine unatufanya tukiona kila Harrier tuanze kuwazuia kupata maelezo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom