Elections 2010 Naisubiri hii siku

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,882
2,761
Siku ambayo akina shimbo et al watampigia Slaa saluti kama amiri jeshi mkuu. Siku ambayo jeshi la polisi litafuata amri ya rais mpya. Siku ambayo uwt watakuwa chini ya uongozi mpya. Siku ambayo wahariri uchwara watajiuzulu kwa manufaa ya umma. Siku ambayo ccm itakuwa chama pinzani. Ila zaidi...siku majeshi yetu ya ulinzi na usalama yatakapotoa salam ya utii kwa rais Dk. W. Slaa
 
mimi nadhani nitalia kwa furaha
 
Endelea kuomba Mwenyezi Mungu atakujalia! siku hiyo inakuja tena very soon. Hima kapige kura tarehe 31 mwezi huu na washawishe watu wengine 10 kumpigia kura Dk. wa ukweli.
 
Na huo ndio utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya inayoelekea kwenye neema
 
For real hata mi nitalia. Itakuwa ni sehemu yangu ya tiba. Suala la msingi mbele yetu ni ulindaji wa kura
 
Siku ambayo akina shimbo et al watampigia Slaa saluti kama amiri jeshi mkuu. Siku ambayo jeshi la polisi litafuata amri ya rais mpya. Siku ambayo uwt watakuwa chini ya uongozi mpya. Siku ambayo wahariri uchwara watajiuzulu kwa manufaa ya umma. Siku ambayo ccm itakuwa chama pinzani. Ila zaidi...siku majeshi yetu ya ulinzi na usalama yatakapotoa salam ya utii kwa rais Dk. W. Slaa

Siku hiyo itaanza tarehe 31st October 2010, kwa wewe na mimi kumpigia Dr. Slaa na Chadema kura zetu za ndiyo
 
Siku ambayo akina shimbo et al watampigia Slaa saluti kama amiri jeshi mkuu. Siku ambayo jeshi la polisi litafuata amri ya rais mpya. Siku ambayo uwt watakuwa chini ya uongozi mpya. Siku ambayo wahariri uchwara watajiuzulu kwa manufaa ya umma. Siku ambayo ccm itakuwa chama pinzani. Ila zaidi...siku majeshi yetu ya ulinzi na usalama yatakapotoa salam ya utii kwa rais Dk. W. Slaa

Wewe vipi, subiri siku yako ya harusi maana siku yako ya kufa hutaiona. Acha ushabiki mandazi utaishia kunywea.
 
wazee wameshaota ndoto na vijana tumepata maono,wakina mama watapiga vifijo na vigelegele..waughaibuni watarudi na pamoja tutajenga tz mpya!
 
ni jambo la kumwomba mungu,naamini the day is coming soon,sijui nitafanya jambo gani kudhihirisha furaha mpya ya maisha yangu ndani ya nchi yangu nikiongozwa na chama changu
 
Mwenyezi Mungu nipe uhai niione hii siku nipate kuwasimulia watoto na wajukuu zangu kuhusu siku hii ya kihistoria.....
 
Siku ambayo wimbo wa Taifa tutauimba kwa ari mpya kama tulivyouimba pale jangwani siku ya uzinduzi wa kampeni yetu kuelekea ikulu. Siku hiyo vinywa vitafunguka, brass band haitagoma wala hatutasikia maumivu ya jua (kama litakuwepo). Siku tutakaposema, naam agano limetimia.
 
Back
Top Bottom