Yaani kwakifupi, umekuja kuomba tukufundishe kutongoza eehhh...!!??
Hapana najua ila hii case ndo inahitaji mbinu za ziadaKwa hiyo mindset yako kuwa humwezi basi ujue ushashindwa mapemaHabari wakuu
Hapa job kuna dada mgeni ana kama miezi miwili sasa,Na ofisi yetu ina watu wengi sana hasa wa jinsia ya kiume so tangu afike ni vita kila mmoja anataka amnase.
Sasa kwa records mpaka sasa hakuna yeyote ambae inaonekana kashafanikisha na huyu dada kihulka ni mtu mcheshi anaongea na kucheka na mtu yeyote yule.
So baada ya kuvutiwa nae pia mimi nimejitokeza kuwania saini yake na juzi alinipa namba yake ya simu na tukaanza kuchati.
Ila nlichogundua ni kuwa kashatengeneza security mindset kali sana kiasi kwamba sioni mbinu mbadala za kumpata.
Nimeona nije kwenu kambini mnipe ujuzi niwawakilishe vema hapa kilingeni maana ushindi wangu utakua ushindi wa hili jukwaa lote.
Nakaribisha mawazo na mbinu za kuweza kushinda vita kama hii.
Nipe mbinu mkuu,mfano ingekua ni wweKwa hiyo mindset yako kuwa humwezi basi ujue ushashindwa mapema
The quiet one is always the wise one.... And ladies love gentlemen coz they are wise....Dah! bless mkuu
Sawa, basi anza kuwa na ukaribu nae.Hapana najua ila hii case ndo inahitaji mbinu za ziada
Mkuu mi nimekuelewa hapo mwisho unaweza kunidadavulia kivipi kuhusu uzinz unavyomaliza nguvu.Mpotezee, usichat nae, mpe salamu tu inamtosha. usiwe na shobo nae..mfanye kama sio chochote...mfanye kama mtu wa daraja la chini kwako asie na hadhi ya daraja lako. Huku kwa mbali ukichungulia hao madume wenzio wanavyopigana vikumbo kumpa tongozo.
Uzinzi ni mlango wa kufisha nguvu za asilia za mwanadamu.
Mkuu mi nimekuelewa hapo mwisho unaweza kunidadavulia kivipi kuhusu uzinz unavyomaliza nguvu.
Wasipoangukia pua?Kwanza kuwa tofaut na hao wenzako wakat wenzako wanamtongoza kwa pupa we kuwa cool, usiongee nae mambo ya kumtaka kabisa alaf hata Kama una namba yake usichat nae mara kwa Mara yan akuone haumshobokei kama wengne,,, ila hakikisha huachi kuwasiliana nae kwa muda mref kama anaweka status WhatsApp siku moja unamsifia ila siyo kila siku,,,, baada ya muda ukishaona wale wenye shobo wameangukia pua sasa ww anza harakat taratibu sana usikurupuke,,,
True seiThe quiet one is always the wise one.... And ladies love gentlemen coz they are wise....
