Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
Habari wakuu
Hapa job kuna dada mgeni ana kama miezi miwili sasa, na ofisi yetu ina watu wengi sana hasa wa jinsia ya kiume so tangu afike ni vita kila mmoja anataka amnase.
Sasa kwa records mpaka sasa hakuna yeyote ambae inaonekana kashafanikisha na huyu dada kihulka ni mtu mcheshi anaongea na kucheka na mtu yeyote yule. So baada ya kuvutiwa nae pia mimi nimejitokeza kuwania saini yake na juzi alinipa namba yake ya simu na tukaanza kuchati.
Ila nlichogundua ni kuwa kashatengeneza security mindset kali sana kiasi kwamba sioni mbinu mbadala za kumpata. Nimeona nije kwenu kambini mnipe ujuzi niwawakilishe vema hapa kilingeni maana ushindi wangu utakua ushindi wa hili jukwaa lote.
Nakaribisha mawazo na mbinu za kuweza kushinda vita kama hii.