Guevara Jr
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 302
- 816
Asipoelewa hapa basi, kama asipomuoa huyo mama mtoto wake ni heri atafute mwanamke mwingine kabisa amwoe.Kama unampenda mtoto wako , oa mama yake.
Huyo mchumba wako unadhani amekusamehe ..ila anakuandalia kisasi. She will avenge ..haiwezekani akusamehe na bado unaendelea kuishi na huyo bibie.
Natamani ingelikuwa rahisi hivyo mkuu. Najuta pia kwakuwa huenda labda niliongozwa na mwili kufanya maamuzi, lakini kwa kuwa najua mpo ambao mnaweza kunisaidia mawazo, natubu kwa Mungu na kwenu, kisha naendelea kuomba msaada wa ushauri
Najuta mno mno mnoUlivyochepuka bila kutumia kinga ulitegemea nini?, mimi binafsi nampongeza huyu mama mtoto kajua kujishikilia haswaa ,ulipaswa umwambie siku ile ile kuwa humpendi sio kumtumia miaka yote hiyo alafu uje umuache tuu na hajakukosea chochote hakika karma haitakuacha salama
Tatizo ni hisia.. Hisia zangu haziko kwake hata kidogo. Awali nilidhani kuwa, baada ya muda huenda ningeweza kujifunza kumpenda, lakini naona hali inazidi kuwa mbaya siku hadi sikuha ha ha ha ha ha mkuu endelea na wote mmoja mpangie chumba mbali ukimuacha huyu uliyezaa nae na hana tatizo mtoto atapata shida. Alafu mstahi bwana mbona yeye alikusaidia shida zako wakati unataka kuosha rungu
Yeah, hamnaga msamaha wa kirahisi hivyo.Asipoelewa hapa basi, kama asipomuoa huyo mama mtoto wake ni heri atafute mwanamke mwingine kabisa amwoe.
Nashukuru kwa tusi pia, huenda limetumika kuelezea uhalisia wa mimi ni nani hasa.. Ingawa bado nakiri kuwa ushauri wako umeniongezea kituHayo malengo makubwa saaana na huyo unayemuita mchumba wako wa zamani ni yapi??
Kununua ndege?kununua treni ya mizigo?au kugombea urais yeye awe first lady??
Huyo uliyezaa nae hana nini?
Wewe jamaa ni fala tu kama mafala wengine,kuna jamaa kakuuliza humu,wazee wako wanasemaje kuhusu hilo??
Kumbuka upendo kwa mtoto ni kitu kizuri sana,na hivyo wewe unavyompenda mwanao na ndivyo mwanao anavyokupenda wewe pamoja na mama yake,kumuacha huyo mama yake ni kumuumiza kwa kiwango ambacho hakielezeki huyo mtoto japo hawezi kueleza ni jinsi gani anaumia.
Brother,kama uliyoisema siyo movie,endelea na maisha na huyo mwanamke uliyezaa nae,epuka kutengeneza matarajio feki na hewa
Kuna uwezekano mkubwa huyo amekusamehe mdomoni na anakizuga tu hapo umtoe huyo uliyezaa naye aingie yeye alafu baada ya hapo utajutaDuh!!! Mpaka mwili umenisisimka...
Nashukuru kwa tusi pia, huenda limetumika kuelezea uhalisia wa mimi ni nani hasa.. Ingawa bado nakiri kuwa ushauri wako umeniongezea kitu