Naishi naye bila hisia

Hata mimi sjui nifanyaje Niko na uyu mke miaka 10 sasa .mtoto wetu Yuko darasa la 6.uyu mwanamke amekuja nivuruga baada kuwa na makelele .natoka kwenye miangaiko nimechoka . Nikifka nyumbani kelele naambiwa natoka kwenye michepuko. Saiz tunalala tu ni zaidi ya miezi mi 3 tnalala kitanda kimoja lkn Sina hisia kabsaa na yy. imefika hatua natamani nikatfte hata room 1 nikalipe hata Kodi ya miez mi3 nimuhache mwenyewe.
 
Another neck supporting empty head
""Kuna kipindi hapa katikati nilimfuma na meseji za mshikaji mwingine wa mtaani kwao hazikua nzuri hata kidogo.Na inaonekana jamaa alikua mtu wake huko zamani kwahiyo amerudi kwa kasi wakawa wanajiachia kwenye simu.""

Una-support MWANAMKE MALAYA kwa kumtukana mwanaume mwenzio.
Shubaamitiiiiiii

Malaya HAOLEWI.

#YNWA
 
Janaume moja bwege sana. Hopeless kabisa
""Kuna kipindi hapa katikati nilimfuma na meseji za mshikaji mwingine wa mtaani kwao hazikua nzuri hata kidogo.Na inaonekana jamaa alikua mtu wake huko zamani kwahiyo amerudi kwa kasi wakawa wanajiachia kwenye simu.""

Unamkandia mwanaume mwenzio kisa Mwanamke Malaya?

#YNWA
 
Umri unasogea?

Miaka 31?

Unasema umemaliza chuo so itakua rahisi kwako. Google 'sex rut' nafikiri ndicho unapitia kipindi hichi
 
πŸ₯Š
 
...Akaja kufingua mapacha na yeye(alinipigia siku anajifungua).Japo sina mawasiliano nae kwa sasa ni mara moja moja sana kila mmoja amesha move on.

...imepita miaka miwili sasa na mimi nahitaji familia umri unasogea(wale mapacha wa yule nilie achana nae sijawahi hata kuwaona hivyo sina uhakika nao kama ni kweli ama lah).
Huyo binti nadhani umeshamchoka na unamtafutia sababu tu za kumuacha (hizo texts ulizozifuma ni kisingizio tu!). Hata sijui ni kwa nini umekuja kuomba ushauri. Utawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye; na ambaye upendo kwake haupo? Bila shaka una binti mwingine pembeni ambaye unadhani kuwa ni bora zaidi ya huyu uliyenaye.

Kama ishu ni shida ya uzazi mbona msitafute suluhisho pamoja huko kwa wataalamu mahospitalini; na kwingineko? Hata hiyo ishu ya kuwa mnazaa mapacha halafu wanaishia kufariki mlishajaribu kuishughulikia kisayansi, kiroho na hata Kiafrika? Kama tatizo hilo hamjalishughulikia huyo binti akipata mimba (ya mapacha) tena kuna uhakika gani kuwa hao watoto hawatafariki?

Hata hivyo jambo kubwa lililonisikitisha ni hao mapacha uliozaa na huyo binti mwenye pesa halafu ukawatelekeza mazima. Kwa nini hujawahi kufuatilia ili kujua kama kweli wapo ili uchukue majukumu yako kwao kama baba yao na kuwapa upendo wanaostahili?

Hakuna mwanaume anayedharaulika hapa duniani kama yule anayetelekeza damu yake mwenyewe. Watoto wanakua bila upendo wa baba yao halafu wakikua na kufanikiwa ndiyo mzazi uliyewatelekeza unajitokeza na kuanza kupiga makelele.

Wanaume katika hili tubadilike!

Kama umeshakata shauri tayari kumuacha huyo binti na hapa umekuja tu kisafisha dhamiri yako inayokusuta ili kuhalalisha hilo lililomo moyoni mwako basi mwache kwa heshima na hakuna sababu ya kumpiga matukio wala kumnyanyasa. Hopefully she will be OK baada ya maumivu ya awali. Na ukumbuke kwamba dunia ni hii hii na maisha ni haya haya.

Kila la heri bro!
 
sidhan kama kuna tatizo miongoni mwenu πŸ’
Labla haukuzingatia vizuri mafundisho ya ufahamu na Uelewa wa kutosha juu ya mahusianao uchumba na ndoaπŸ’

masuala ya kukosa hisia sio tu kwenye ndoa, mahusiano au uchumba bali pia katika kazi na biashara pia, iko hali ya kuhisi kuchoka huzonga watu πŸ’

Lakini pia kumuwaza au kumvutia hisia mwanamke mwingine ili kufika mshindo kwa mwanamke ulienae sasa hivi pia ni jambo la kawaida na lipo sana tu πŸ’

ukiskia ndoa si lele mama ndio apo sasa πŸ’
ulie nae ni sahihi sana kwako zaidi ya mwingine yeyote,
Kumbuka, mkataa pema, pabaya panamwita πŸ’
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…