Naishi na njiwa

Hii hata kama Mimi sio mtabiri ila wewe una amani sana moyoni na una upendo wa kweli na njiwa!Mimi niliwaletea madogo hapa home ila wote wamekimbia kucheki Kila siku madogo lazima wapigane!
 
Hii hata kama Mimi sio mtabiri ila wewe una amani sana moyoni na una upendo wa kweli na njiwa!Mimi niliwaletea madogo hapa home ila wote wamekimbia kucheki Kila siku madogo lazima wapigane!
Mkuu mimi sijui mabifu ya kukaa nayo tukizinguana nitatafuta suluhu na amani inakuwepo.

Ila kuhusu njiwa niliwapenda tangu nikiwa la nne nakumbuka nilinunua njiwa wa4 yaani pair 2 wakazaliana na wengine wakuja wenyewe sikuwahi kuuza kabisa hata njiwa mmoja.

Wale njiwa walikuwa wakisikia sauti yangu nikitoka shuleni lazima wanipokee wanatua mbele yangu hadi nafika nyumbani na mbwa hivyohivyo hadi sasa kuna mbwa2 walimfuata dogo(mtoto wangu umri miaka4 ) hadi leo wapo
 
Si una ona!Mimi hapo kwenye bifu sijawahi kua mnyonge yaan hadi tupasuane ukinishinda natafuta plan B!
 
maelezo yote ya nini
 
Sijaona tatizo kubwa kwako kutoka kwa hao Njiwa,
waache tu waendelee na maisha yao.
ndio wewe ulioiga ID au uliigwa? kuna mwenzako naye yamemtokea yupo yupo analia muhuni kaiga id yake hadi mwandiko ila anaandika mambo yake
 
Hii hata kama Mimi sio mtabiri ila wewe una amani sana moyoni na una upendo wa kweli na njiwa!Mimi niliwaletea madogo hapa home ila wote wamekimbia kucheki Kila siku madogo lazima wapigane!
😁😁😁
Sasa mleta njiwa mwenyewe anajiita Mandingo, njiwa gani atakayevumilia?
 
Nikola Tesla rafiki zake walikuwa ni njiwa, walimpenda kweli kweli.
 
Ni rafiki wazuri ila sisi tunaorudi na mipango ya malipizi kesho kazini walitushinda mapema .
Unawawekea mazingira mazuri ila wanatoroka kumbe mabifu na wafanya usafi kazini washikaji wanaona wanaamua kusepa zao
 
Nilitaka kufuga mbweha kwa ajili ya kusafirisha nje ya nchi kwa vile nilipata soko zuri sana lakini ikashindikana
 
Hao njiwa tausi wakoje na ni bei Gani mbegu?
Ni njiwa wazuri sana, bei zake walivyoingia walikuwa Pair ni 600,000/= yaani mmoja ni laki 3 ila kuna mahali mimi nilinunua kwa laki 3 Pair, yaani Dume na Jike huko Arusha
 

Attachments

  • images (38).jpeg
    50.1 KB · Views: 29
  • images (36).jpeg
    31.9 KB · Views: 31
  • images (37).jpeg
    36.2 KB · Views: 27
Kwetu hata kunguru hatui, sijui tuna laana gani

Yaani Ukiacha kitu na shombo ni Mandushi yanajazana majike kwa maume mengine Chongo, mengine chiba Yaani tabu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…